Jk ni rahisi na rais tunamtegemea baada ya mapinduzi yajayo siku chache zijazo
hapo kwenye red, inamaanisha taaluma ya uchumi aliyo nayo haijamsaidia chochote.'serikali haiwezi geuka mvua........'wanaopata mimba ni kwa sababu ya viherehere vya.'hata mimi sijui kwa nini tanzania ni masikini'.....Kwa kauli kama hizi za rais unaweza sema tuna rais!yeye kama msemaji wa mwisho anatoa kauli rahisi kama lay man,watendaji wake watafanyaje?ndo maana hata wanadiriki kuwaambia wananchi watawashikisha ukuta(Nape)!Binafsi sina rais!mwenyewe ndo rais wa maisha yangu na familia yangu!