antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,667
- 134,632
....Kila kitu cha magharibi?Mimi nimesema sitaki copying and pasting,sasa nikichagua kati ya zilizopo sintakuwa nimekopi?Tuone mbali jamani,kwani wao walianzishaje the so called democracy, si lilikuwa wazo tu,na sisi tungeweza kuwa na an African style of rule,tukaiita kwa mfano "Abazumbe"? Aba from Abantu and Zumbe,ruler.Ni wazo tu,very utopian kwa sasa hata hivyo,kwa kuwa haliwezi kuwa implemented, kwa vile our way of thinking and way of doing things is fully controlled by the West,shameful indeed.Yaani kwa ujinga tulionao tunadhani kila kitu cha magharibi ni kizuri.
Mbona lugha yao unapenda?? Na karibu kila tunachotumia either ni vyao au tumekopi kwao.. Kompyuta, simu, gari, ndege, nguo, elimu, madawa, vitabu, dini, nk.. Sema tu hupendi demokrasia afu utueleze manufaa ya udikteta. Afrika ilishakua na madikteta wengi (mobutu, dada idi amin, mugabe, sani abacha, bokasa, kamuzu banda, wa gambia aliyefurushwa majuzi, nk) na sikumbuki kama walileta ahueni yyte kwa watu wao