Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,444
- 23,120
Mkuu uko sahihi somehow.Hata hivyo mimi huwa nachukia sana ku-copy na ku-paste. Frankly siamini dhana ya vyama vingi kwamba ndio democracy.Hii ni dictation from the West which I dislike so much.I am an African and I like things with an African touch,not copies from the West.The so called democracy is nonsense.Hakuna Rais aliyewahi kupendwa kwa asilimia mia moja akiwa madarakani. Hata kipindi cha Nyerere wapo waliompinga, Mwinyi naye akiwa madarakani alipingwa, Mkapa hivyo hivyo, Kikwete ndio usiseme na Sasa ni Zamu ya Mh JPM kuwa si wote wanaokubalina naye.
Najua akiondoka Madarakani mtamkumbuka pia kama mnavyomkumbuka JK kwa Sasa.
#Kutoka Moyoni kabisa ukiachana na kutetereka kwa maemdeleo ya kidemokrasia nchini kulingana na falsafa na Operation za CCM mpya kuna mambo Serikali ya Awamu ya tano inafanya. Na wanachokifanya ni kuacha alama kwa Kizazi kijacho.