shansarie JF-Expert Member Joined May 25, 2013 Posts 5,690 Reaction score 3,373 Dec 5, 2013 #41 Kukata gogo raha uwe peke yako akiongezeka mtu mwingine ni karaha
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Dec 5, 2013 #42 Raha duniani ni kuwa na afya njema,kuishi vizuri na watu na kumcha mungu wako...
Mndengereko JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 7,319 Reaction score 3,435 Dec 5, 2013 #43 Duh nilifikiri hii ni ya 50 labda kumbe kuna watu kwenda chooni ni ya kwanza bila shaka kuna kitu hapa.
Duh nilifikiri hii ni ya 50 labda kumbe kuna watu kwenda chooni ni ya kwanza bila shaka kuna kitu hapa.
B Barasu JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 1,146 Reaction score 335 Dec 5, 2013 #44 edward snowdern said: kujisaidia haja kubwa huku unavuta sigara au kusafishwa maskio na mtu mwingine kwa kutumia pamba za kusafishia maskio a.k.a [cotton buds] Click to expand... Baadhi ya Wahindi wanatabia hizi. Wakiingia huko huwa na sigara, kiberiti na simu. Wataongea weeee
edward snowdern said: kujisaidia haja kubwa huku unavuta sigara au kusafishwa maskio na mtu mwingine kwa kutumia pamba za kusafishia maskio a.k.a [cotton buds] Click to expand... Baadhi ya Wahindi wanatabia hizi. Wakiingia huko huwa na sigara, kiberiti na simu. Wataongea weeee