Bado nalitafutaView attachment 2027748
Sio adimu, bali hakuna kabisaNi kweli kabisa...
Bila kusahau matumizi ya herufi X kwenye kiswahili ni adimu sana...
Kiswahili kama lugha unaielewa vyema, maana ujuzi wa lugha yoyote duniani huzingatiwa kwanza kwenye mambo mawili;Katika lugha ambazo sijawahigi kuzielewa kabisa basi ni Kiswahili, nakumbuka mpaka kidato cha nne nilkua napeperusha pendera hadi 15F niliwahi pata, ndiyo somo pekee nililokua nafeli ikifatiwa na Civics lakini yenyewe nilikua napata D sana mpaka walimu wa masomo wakawa wananishangaa how comes! Kidogo necta ya kidato cha nne ndo nilipata ka C ka kiswahili..
Nilikua naona somo gumu sana kwangu.
Kiswahili ni kigumu na hili nimeliona nilivyo anza anza kufuatilia maneno kutoka BAKITA.Katika lugha ambazo sijawahigi kuzielewa kabisa basi ni Kiswahili, nakumbuka mpaka kidato cha nne nilkua napeperusha pendera hadi 15F niliwahi pata, ndiyo somo pekee nililokua nafeli ikifatiwa na Civics lakini yenyewe nilikua napata D sana mpaka walimu wa masomo wakawa wananishangaa how comes! Kidogo necta ya kidato cha nne ndo nilipata ka C ka kiswahili..
Nilikua naona somo gumu sana kwangu.
Mmh!! Haina maana bila irabu.Mmh!!?
Kuna siku niliwasikia BAKITA wakitolea maana ya neno DANGA ambalo limezoeleka sana miongoni mwetu na tunajua linatumika vipi..Kiswahili ni kigumu na hili nimeliona nilivyo anza anza kufuatilia maneno kutoka BAKITA.
Mfano neno shurubati, kimbaka, kimemeshi n.k
Kudanga kutafuta kitu ambacho huna uwezo nacho kwa hali na mali yaani kukipigania.Kuna siku niliwasikia BAKITA wakitolea maana ya neno DANGA ambalo limezoeleka sana miongoni mwetu na tunajua linatumika vipi..
Ila kwa maelezo ya BAKITA walisema maana ya neno "DANGA" au KUDANGA ni kitendo cha kutafuta kitu ambacho unajua kabisa huwezi kukipata/hakipatikani.
Ila ajabu kuna watanzania wanaDANGA na wanamiliki MADANGA
Kiswahili
lugha za mabaa medi kupitia sms hizo!Na sku hizi mwenye kiswahili kuna konsonanti "x"
Mf. Xhem, xaxa, xjui
BASAT sjui BAKITA mliangalie na hili pia.