Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

Kwa tafsiri gani??
Kiswahili! Towashi ni mwanaume aliyehanithiwa, mseja ni mwanaume aliyefikia umri wa kuoa na mwenye "uwezo" wa kuoa kibailojia lakini hajaoa (hataki kuoa) - wengi huita bachelor/bachela. Kwa hiyo wewe umeamua kuwa towashi? ama "mseja"?
 
Kiswahili! Towashi ni mwanaume aliyehanithiwa, mseja ni mwanaume aliyefikia umri wa kuoa na mwenye "uwezo" wa kuoa kibailojia lakini hajaoa (hataki kuoa) - wengi huita bachelor/bachela. Kwa hiyo wewe umeamua kuwa towashi? ama "mseja"?

Umekariri ...!!!!!!!!!!!
 

BLAH! BLAH! BLAH! Nikizeeka nitatafua PLAN B! O the mean time let e enjoy it while it lasts.
 

Kwa mkeo unaweza kwenda na free pumbu mwezi mzima, ila huku pesa ndo gate pass. Huna nakutoa race kama Hussein Bolt kama sio relay.

ake zenu baadhi u ndo wanafaidi ila wengi MAJANGAAAAAAA! Nyumba ndogo hazipiki zinakuka dinner kwa reservation tu, mkeo anamaliza mkaa na gesi. KUKU WAKO MWENYEWE MANATI YA NINI.
 
Ur very right my dia...na deep down in their hearts wanajua hilo sema tamaa ndo zinawaangusha dhambini


....
.... Hapa hata nikiibia mke wangu atanisamehe tu...wee...she will..
 
Nimekariri nini? mbona hayo ni maneno ya kiswahili tu! Au wewe ulikusudia nini uliposema umeamua kuwa "towashi"?

Biblia imezungumzia matowashi. Inasema kuwa wanamume na wanawake fulani huchagua useja kwa hiari zao wenyewe. Ni kweli. Na ingefaa useja uchaguliwe kwa "idhini..., si kwa amri." (1Wakorintho 7:6).

"Maana wako matowashi waliozaliwa hali hiyo toka matumboni mwa mama zao; tena wako matowashi waliofanywa na watu kuwa matowashi; tena wako matowashi waliojifanya kuwa matowashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea neno hili, na alipokee." (Mathayo 19:12).

Neno hili, ambalo kwa Kiingereza ni ‘eunuch', limeonekana mara 18 katika Biblia ya Kiingereza ya ‘Revised Standard Version'. Lakini limeonakana mara chache zaidi katika Biblia za Kiswahili.

Kwa hiyo neno hilo linamaanisha mambo mengi ikitegemea fasiri ya Biblia inayotumiwa. Kwa wanaotaka kulifuatilia kwa karibu zaidi katika Biblia ya Revised Standard Version watazame aya inayofuata.

Neno hilo limeonekana mara kadhaa katika vitabu kadhaa vya Biblia (tazama katika mabano). Katika kitabu cha Esta 2:3, 14, 15; 4:4, 5 (mara tano), Isaya 56:2, 3 (mara mbili), Mathayo 19:12 (mara tano), Yeremia 38:7 (mara moja) na Matendo 8:27, 34, 36, 38, 39 (mara tano).

Katika Biblia za Kiswahili neno hilo litamaanisha mambo mengi kuanzia towashi, bikira, suria(?) au mjakazi(?)
 
Reactions: SMU
Ngoja nikioa namie nitachangia mada :coffee:
 
umesema kweli Eiyer.....
but ngoja nami niwaambie wadada wenzangu......kuolewa siyo kuzeeka jamani.
kuna wadada wakishaolewa tu ndo utafikiri kaambiwa kaingia dunia nyingine.
alikuwa anavaa vinguo vyake anapendezaaaaa mpaka mkaka akamtamani na kumpenda na kumuweka ndani, hapo sasa anaona yeye ni MRS basi ni mwendo wa minguo....... yupo chumbani lakini hasomeki kabisaaaa, utafikiri kavalia kwenda kanisani. michezo yoote aliyokuwa anacheza na mwenzie inaisha, kisa, mke wa mtu, jamaniiiiii, kwa nini mkaka asiangalie pembeni kidogo!
Nami nawaambia wadada tubadilike...... kuolewa, kuzaa, kupata wajukuu, hakuna maana ndo tujiachie
 
Last edited by a moderator:
hizi picha za warembo uliowaeka zinakinzana na uhalisia wa maneno na uhalisia wa wake zetu tuliowaacha nyumbani,mweeh kizuri kinjiuza bana....

Unapimaje uzuri wa mtu??
 

Nyie wadada wote wa MMU kujeni msome hapa......!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…