Ukweli wa mambo ni tamaa tu inayotusumbua na si kingine maana kama mimi me wangu ni mzuri sana na ana kila sifa ya kuwa mke na hata ukimpeleka katika wife material yupo. Lakini cha ajabu bado nawagonga sana nje na kiukweli ni wachache unakuta wanakuwa katika level yake au kumzidi.
Thank you madam .....Uzi umeenda shule Eiyer...
Pole sana madamIla kwa sasa nimeamua kuamia jukwaa la siasa...hili jukwaa kila siku zinavyosonga linazidi kuwa la stress ...full hasira kila nisomapo thread....
Nobody can but we here to help people change and not change themSiwezi badili tabia ya mtu mmoja mmoja....
Unaweza kulifanuya hilo bila kujiumiza madamNimeamua kujali yangu miye NK...maana najikuta wakati mwingine natoa povu kusema huyo alochiti mme wangu...maisha yenyewe mafupi nianze fikiria shida na tabia za watu nsowajua
Why?najua namna ya kumthibiti wa kwangu
May be but there is something we can do for themkila mtu na abebe mzigo wake
Hata hapa unalisaidia taifangoja nianze kuchangia kwenye maendeleo ya taifa thru jukwaa linaloongelea issues za kitaifa...
I doubt that .......!!!!!!Maana hili jukwaa linatia mtu pressure bila sababu ya msingi
Hivi yule aliyeanzisha uzi wa Mungu ni fundi alimaanisha nini..????Ni kawaida kusikia Wanaume makazini au mahali popote pale pa mikusanyiko yetu kuwasifia baadhi ya wanawake wanaokatiza mbele ya macho yetu,kitendo hiki hutupelekea wakati mwingine hata kuingia majaribuni
Hili jambo la kumsifia mwanamke ambae umemuona siku moja tu ni kitendo ambacho sikubaliani nacho hata kidogo,mwanamke ambae umemuona siku hiyo tu na ukazuzuka na mguu au makalio tu sio sahihi kabisa
Sidhani kama ulikosea ulipomuona mkeo na najua unaikumbika sana siku ya ndoa yenu
Huyu ni mwanamke uliyemchagua kati ya wana wake zaidi ya Bil 3 walioko duniani
Umemchagua akulelee wanao
Umemchagua akupikie chakula
Umemchagua akupe huduma zote tena katika maisha yako yete
Iweje uwaone wanawake wa mitaani kuwa ndio wazuri??
Unadhani unakuwa unamtendea haki mkeo kweli?
Ukweli ni kuwa hakuna mwanamke mzuri kuliko mkeo dunia yote hii na kutolea macho wanawake wapitaji tu kama hawa sio sahihi
Hao ni wapitaji tu na hicho unachokidhania ni bora kiko kwa mkeo na ni bora zaidi
Hakuna zaidi ya mkeoa na jaribu kumpenda na kumheshimu zaidi
Huyu ndie ubavu wako na hakuna kama yeye
Hebu mpende mkeo na jisikie fahari kuwa nae bana ........!!!!!!!!
unakitu kama hichi, unakutana na kama ulivyotupia hapo juu.. aiseee mi ntageuka tu na nitakubali nimezidiwa
View attachment 131774
Angekua anasikia nngemshukuru Mungu....
Kwa mkeo unaweza kwenda na free pumbu mwezi mzima, ila huku pesa ndo gate pass. Huna nakutoa race kama Hussein Bolt kama sio relay.
ake zenu baadhi u ndo wanafaidi ila wengi MAJANGAAAAAAA! Nyumba ndogo hazipiki zinakuka dinner kwa reservation tu, mkeo anamaliza mkaa na gesi. KUKU WAKO MWENYEWE MANATI YA NINI.
Na bigup kwa Maulana kwa kuumba wazuri zaidi na zaidi kila siku...
amefika ndani, akabadilika hiviKwanini uwe nayo??
Teh teh teh
Da sophy bana
Mbona comments zako zinawananga waliofunga ndoa (wenye vyeti)?
we jamaa una akili sanaKama kuna anayezuzuka na makalio na mguu, aoe wa aina hiyo ili awe anazuzukia ndani kwake!