Hakuna mwanaume yeyote humu CC / JF .......


usupastaa kuutafuta kazi sana..
 
Last edited by a moderator:
Umekunwajwe? Mkunaji nani na umekunwa wapi chardams jaman
 
Last edited by a moderator:
Habarini za wikiendi,Licha ya kuwa nimetingwa na majukumu makubwa ya kujenga taifa letu hili, Leo imenibidi nitinge humu ili niwaeleze kuwa nimesikitishwa na nimezalilishwa sana na huu uzi. ambao sina idea nao. Manoah u r right this is not me.Kuna mtu atakuwa amehak akaount yangu.Naomab ile kamati ya anti hackers ichukue nafasi yake . Nakama haipo basi iundwe. Mwnyekiti hebu shughulikia hili suala likikushinda nadhani nianze kampeni ya kukutaka ujiudhuru hiyo nafasi.Nitarudi mida ya saa Tatu au Nnne usiku, ngoja nimalizie shughuli za kulijenga taifa letu.cc: Chocs, Erickb52, Nivea, Passion lady, Sweetlady,Kakakiiza, Lachicaguapa, Arushaone, Mr Rocky, Charminglady, Baba V, Chimbuvu, wat8, mamndenyi, kipipi, Mr. Rocky Manoah, Preta, Judgment, Arabela, Bujubuji, Madame B, Dena amsi, Saudari, Filipo, sweetlady, Asnam, Natalia, Nyaningabo, Ndetichia, Sisimizi Shujaa, Ruttashbolwa.
 

Mhhhh. u cant be serious.Tutakuamini vipi???Nadhani kuna haja ya kuunda tume kuchunguza issue kama hizi
 

Umeona ishu imekuwa ndivyo sivyo unasingizia sio wewe ha ha ha ha
mbona mwandiko unafanana wa kwanza na wa pili? jinsi ya kumention inafanana hata watu uliowamention sahivi ndo wale walewale uliowamention mwanzo????
hongera kwa kukunwa!!!!!!!!!!!
 




Amelikoroga alinywe
 
Umeona ishu imekuwa ndivyo sivyo unasingizia sio wewe ha ha ha ha
mbona mwandiko unafanana wa kwanza na wa pili? jinsi ya kumention inafanana hata watu uliowamention sahivi ndo wale walewale uliowamention mwanzo????
hongera kwa kukunwa!!!!!!!!!!!

Aksante, lakini ujue watu walikuwa mentioned nimewa cpy from the original comment ili kuokoa muda wa ku type. na hii ndo sababu fonts zimefanana, by the make fun of yourself as this gives no impact to me.

Kuna msemo unasema a f*** belives what comes first to his / her ..................
 

kazi ipo...
 
whatever!!!!!!!hiyo justification yako imekaa kitoto........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…