Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,111
- 34,943
[h=3]" HAKUNA MWANAUME MWENYE UBAVU WA KUNIACHA....."DIDA[/h]
MTANGAZAJI wa Redio Times FM, ya jijini Dar, Khadija Shaibu Dida amefunguka kuwa, hajawahi kuachwa, mara nyingi huwaacha wanaume
Akiongea na mwandishi , Dida alisisitiza kuwa katika ndoa mbili alizopitia alishtuka mapema baada ya kuona maelewano na waume zake yanakwenda mrama, fasta akabwaga manyanga.
Mimi sijawahi kuachwa, huwa nawaacha, unajua miye ni mtu ninayependa amani muda wote na sitaki kusumbuliwa katika maisha yangu, alisema Dida.
Jamani ninawauliza swali je ni kweli anavyosema bibie Dida? Mnae mjuwa bibie Dida tupeni habari zake.
"Mimi sijawahi kuachwa, huwa nawaacha,
Mie sina hoja ni swali tu, mbona sura mwafrika afu miguu mzungu!??
kwa kipi babu weeWabongo nyie mnamuonea wivu Dada yangu Dida anawacha njiani wanaume kwa uzuri wake jamani muacheni na uzuri wake wenye vijisenti wanamgombea anawaacha kwenye mataa ya Trafic fire karibu na kiabu ya Yanga jamani mwehhhhhh......
mzuri ye kioo?
ndo manake!Kakaah! nye!