Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 26,103
- 34,062
Hizo sababu nani ameziweka?Tulia na usome hii kwa umakini ili uelewe baadhi ya sababu za kuoa wake zaidi ya mmoja.
Hizo sababu nani ameziweka?Tulia na usome hii kwa umakini ili uelewe baadhi ya sababu za kuoa wake zaidi ya mmoja.
Siwezi kuingiza akilini Mwangu info from unknown sourcesKabla ya kumjua aliyeziweka, je zinaingia akilini au haziingii??!!
Sema hizo ameziweka nani na una uhakika gani kwamba ni lazima ziwork kwa wanaume wote.Kabla ya kumjua aliyeziweka, je zinaingia akilini au haziingii??!!
Sema hizo ameziweka nani na una uhakika gani kwamba ni lazima ziwork kwa wanaume wote.
Shida hapa sio kuoa, kinachotakiwa ni kuzalisha, asiwepo anaekosa mtoto kwakuwa amekosa mwanaume au mwanamke. Kupolewa ni Jambo lingine kabisa. Lakini pesa sio kigezo namba moja katika kuzaa, kwani hata majike ya Simba, kuku, mbuzi, kenge na nguchilo yanazaa lakini hayatunzwi na wanaume wao. Katika maisha ya kawaida wanawake hawahitaji kutunzwa hivyo, wanazalisha sana ili wanadhulumiwa na wanaume nguvu na mali zao. Wanawake wengine ni wabunge, wakulima, DC, wafugaji, wafanyakazi, wafanyabiashara, Marais nk. Wewe unaongelea viruka njia vinavyofuga kucha ndefu na kope bandia na kupaka carorite.Uoe wanawake wanne bila kuwa na kipato cha kuwahudumia kisa unawakaza sana kweli! Hiyo ilikuwa zamani sana. Hawa dada zetu wa sasa watakufanyia dharau za wazi kabisa ubaki unagombana nao kila siku.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wanaume wengi wanaomba Mungu wake zao wasiwalalamikie kuwa hawatosheki. Ndio maana wanaume wamejaribu kuwakeketa wanawake ili wasijisikie utamu wakati wa kujamiana. Hii iliwawezesha wanaume kuwa na wanawake wengi bila wake zake kuwa na malalamiko juu yake au wasitoke nje ya ndoa wakati mume Yuko kwenye mzunguuko wa wakeze.Hii nitakupinga sababu kuridhika kupo kwa aina tofauti kwa wanawake, tumesikia case mbalimbali kuna wanawake hawajawahi ridhishwa kwa namna unayosema wewe mpaka wamekufa, isipokua mwanamke akikutana wa wanaume mbalimbali ndo anaweza kujua kama mume wake alikua anamridhidhisha au la, vinginevyo anaweza kuridhika na mume wake mpaka kufa
Hili halikuhusu na halihusiani na madaKila info iliyomo kichwani mwako unaijua source yake??
Hili halikuhusu na halihusiani na mada
Hilo la kusema ni kosa umelitoa wapi? Nani amesema?Kana halinihusu kwanini uliliandika??!!, umeandika; "siwezi kuingiza akilini mwangu info from unknown sources"----- deduction from that saying of yours is:- All infos you have in your minds came from known sources, ndio maana nikakuuliza, je infos zote ulizonazo kichwani mwako unahakika zimetoka kwenye known sources???.
Ni sawa mtu aseme; "toka nizaliwe sijanywa kinywaji chochote"----- sasa tukimuhoji:- "je hujanywa hata maji??!!" -----kuhoji swali hilo ni kosa??
Unadanganya mkuu unaposema hali ni ileile kwa wanawake wote, hiyo ni lugha ya kichovu zaidi kuliko uhalisia. Umbo, sura, sauti, tabia, ufundi wa kitandani, uhodari wa kujipamba na usafi, umbo la vagina, umri wa mwanamke, aliyezaa na ambaye hajazaa hivi vyote vinamtofautisha kati ya mwanamke huyu na yule. Hii ndio maana kuna wanaume wanajinyonga kwasababu ya mwanamke fulani, au wanaume wanapigania mwanamke fulani. Wasingepigania kama hali ni ileile kwa kila mwanamke. Variety is the spice of life.tatzo ww ukiwa malaya unahis na me wote wapo hivyo mkuu!!....kwa taarifa yako hakuna tofaut unayoitafta kwa mwanamke mwngne hali ni ileile tu!,,acha huo ujinga,tafta hela tunza familia yak na wtt hakikisha wanapata elimu ya kutosha pia wekeza kwaajili ya maisha ya uzeeni acha mambo ya jitoto jielewe,,tupo wanaume tulioridhika na wake zetu na hat siku mona huwaz kutembea na mchepuko..
Binadamu wana tabia ya kukinai, kuzoea na kuboreka. Binadamu ana tabia ya kupenda kujaribu kipya, ndio maana ya "kipya kinyemi"Kama wanachepuka wakati wanao wake zaidi ya mmoja je hali ingekuaje kama wangalikuwa na mke mmoja tu??!!.
MwenyeziMungu anamtaka mgonjwa apunzike hadi hapo atakapopata ahueni. Kama afya yako ni ya Mke mmoja usilaumie lakini usitake kila mwanaume awe kama wewe, dunia haitakuwa dunia. Yaani, ukiwa na majike 10 ya ng'ombe lazima uwe na madume 10 pia. Kama Mungu hakufanya hivyo kwa viumbe wengine hawezi kufanya tofauti kwa binadamu kama vile ambavyo hakutofautisha kwenye kujamiana, kula, kukojoa, haja kubwa, kujisikia maumivu, kujisikia usingizi, kupumua, moyo kudunda, kuwa na damu, mahitaji ya oxygen, nk. Msitengeneze mungu wenu vichwani.nawe pia pole yako na mijanamke yako..🥴
Hilo la kusema ni kosa umelitoa wapi? Nani amesema?
Nimekuambia hili suala halikuhusu wewe na halihusiani na muda...sio lazima wewe ulifahamu
Mambo / jambo lingine ukitaka kulifahamu linakupotezea muda bure na halitakusaidia...umeelewa?
Unakuwa kama Mtu mmbea mbea mwenye kutaka kufuatilia yasiyomhusu.
Binadamu wana tabia ya kukinai, kuzoea na kuboreka. Binadamu ana tabia ya kupenda kujaribu kipya, ndio maana ya "kipya kinyemi"
Maranyingi binadamu hapendi kitu Cha zamani, anakaa na kubaki nacho hata kama hakitaki kwasababu za mazoea TU, yaani nimemzoea, ndiyo maana ya "mazoea yana tabu" na "usiache mbachao kwa msala upitao". Misemo hii isingekuwepo kama tatizo la kupenda vipya lisingekuwepo mwenye jamii.
Mwenye Mke mmoja au mume mmoja ana kasoro ya kuvumilia kitu asichokipenda sawa na mtu anayevumilia harufu ya chooni au ya dampo. Ukikaa sana chooni au karibu na dampo kwa muda mrefu mwishowe harufu inapotea puani kwako Ila kwa mgeni, yaani kwao wanaishi Ile misemo ya "yakale ni Dhahabu, mazoea yana tabu, usiache mbachao kwa mshale upitao, present is known and secure". Yaani wako tayari ya kucheza na kusifu nyimbo za akina Mbaraka Mwishehe, Cuban Malimba, Daudi Kabaka, Juma Kilaza na Salim Abdala na wakupinda akina Diamond, Harmonize, Ali Kiba, Zuchu, nk.
WAPI NIMEELEZEA HII KITU! HALAF MBONA SIO MM TU NISIYEKUBALIANA TATIZO NIN BOSS..?usitake kila mwanaume awe kama wewe
HAKUNA ALIYETENGENEZA MUNGU WAKE HAPA! SISI TUNAJADILI KUTOKANA NA HEADED YA BWNA MWANDISHI SOMA TENA KICHWA CHA HABARI BOSS..😊MwenyeziMungu anamtaka mgonjwa apunzike hadi hapo atakapopata ahueni. Kama afya yako ni ya Mke mmoja usilaumie lakini usitake kila mwanaume awe kama wewe, dunia haitakuwa dunia. Yaani, ukiwa na majike 10 ya ng'ombe lazima uwe na madume 10 pia. Kama Mungu hakufanya hivyo kwa viumbe wengine hawezi kufanya tofauti kwa binadamu kama vile ambavyo hakutofautisha kwenye kujamiana, kula, kukojoa, haja kubwa, kujisikia maumivu, kujisikia usingizi, kupumua, moyo kudunda, kuwa na damu, mahitaji ya oxygen, nk. Msitengeneze mungu wenu vichwani.
Kumbe wewe msutaji? Ndio mana nimekuambia una umbea na tabia za kusuta ni za Wanawake wambea wambea wa uswahili wasio na kazi za maana za kufanya zaidi ya kuchunguza maisha ya watu na kufanya umbeaWewe unashangaza sana, hivi haya maneno:- "siwezi kuingiza info akilini mwangu from unknown source", ni maneno ya nani na yanahusu kitu gani na ulikuwa unamuambia mtu gani???--- hebu weka akilini (kama unayo) hayo maswali kwanza.
Unasema mimi ni mbeya mbeya kukuuliza hilo swali!!!, na mimi nasema wewe ni muongo muongo unaposema kwamba; "huwezi kuingiza info akilini mwako from unknown sources" wakati huo huo hizo nukta (infos) ulikwisha zisoma (ziingiza akilini mwako) na ndio maana baada ya kuziingiza akilini mwako ukahitaji source zake.
kumbuka kwamba akili ya binadamu inaingiza vitu vingi kutoka sources tofauti ila kinachotakiwa ni kuzichuja (digesting the infos) ili kujua ukweli na usahihi wake na ndio maana mimi nilikuuliza juu ya hizo nukta za kuoa mke zaidi ya mmoja, je zinaingia akilini???.
Ulichotakiwa kuomba ni Source tu ya nukta hizo na sio kujimwambafai kwamba eti; huwezi kuingiza info akilini mwako from unknown sources kana kwamba akili yako sio ya mtu hai (dynamic) bali ya mfu (static).
Kumbuka usiwe unaandike vitu irrelevant na mada ili usijesutwa uongo baadaye.
Kumbe wewe msutaji? Ndio mana nimekuambia una umbea na tabia za kusuta ni za Wanawake wambea wambea wa uswahili wasio na kazi za maana za kufanya zaidi ya kuchunguza maisha ya watu na kufanya umbea
Sawa Mwanamama msutaji. Wewe pacha wa Bi chau au Hadija kopa?Ukileta uongo hadharani bila ushahidi watu tutataka ushahdi ukishindwa kuuleta ni lazima USUTWE tu.