Hakuna mwanasiasa wa aina ya Tundu Lissu Marekani

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,608
Kumkemea raisi, kumuita raisi mjinga, hana washauri, dikteta uchwara, hajui anachokifanya, hayo ni matusi.

Tunajua huu uhuru wa kusema mnawaiga Marekani . Sasa wamarekani tunawaambia hakuna viongozi wa upinzani wa aina hii Marekani.

Heshima ya mtu ni kitu muhimu. Huwezi kusema rais anavunja katiba wakati wewe mwenyewe unadhalilisha utu wa rais katika kufikisha ujumbe wako. Wewe pia unavunja katiba kwa kufanya hivyo.

Msiturudishie upinzani wa kina Jonas Savimbi.

Kuna kiongozi mmoja wa upinzani simtaji jina katika hotuba zake lazime atishie kumwagika damu. Na kwenye hii hotuba ya juzi rais wa Tanzania kafananishwa na mfalme wa Ufaransa aliyechinjwa.

Give me a break! Hakuna siasa za hivyo Marekani.
 
Na hakuna wanasiasa aina ya baba Bashite na mwanawe marekani.
 
Analysis | Comey, unplugged: Trump is a lying liar who lied
 
SIWEZI KUKUBALIANA NA UPINZANI WA AINA YA TUNDU LISSU HATA KAMA MAAMUZI YA CCM KIASI FULANI YANAUMIZA MIPANGO YANGU BINAFSI!
NA ENDAPO MABWANA ZAKE ANAOWAAMBIA WATUNYIME MISAADA WAKIFANIKIWA KUMPANDIKIZA NITAINGIA MSITUNI NA WAZALENDO WENZANGU KUMNG'OA!
 
Kumkemea raisi, kumuita raisi mjinga, hana washauri, dikteta uchwara, hajui anachokifanya, hayo ni matusi.

Tunajua huu uhuru wa kusema mnawaiga Marekani . Sasa wamarekani tunawaambia hakuna viongozi wa upinzani wa aina hii Marekani.

Heshima ya mtu ni kitu muhimu. Huwezi kusema rais anavunja katiba wakati wewe mwenyewe unadhalilisha utu wa rais katika kufikisha ujumbe wako. Wewe pia unavunja katiba kwa kufanya hivyo.

Msiturudishie upinzani wa kina Jonas Savimbi.

Kuna kiongozi mmoja wa upinzani simtaji jina katika hotuba zake lazime atishie kumwagika damu. Na kwenye hii hotuba ya juzi rais wa Tanzania kafananishwa na mfalme wa Ufaransa aliyechinjwa.

Give me a break! Hakuna siasa za hivyo Marekani.
Labda marekani ya kwenu huko lumumba,huyo trump watu wanamtukana na kumuona wa kike tu kwa sababu ya kuropoka kwake hovyo kma fenti fodi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumkemea raisi, kumuita raisi mjinga, hana washauri, dikteta uchwara, hajui anachokifanya, hayo ni matusi.

Tunajua huu uhuru wa kusema mnawaiga Marekani . Sasa wamarekani tunawaambia hakuna viongozi wa upinzani wa aina hii Marekani.

Heshima ya mtu ni kitu muhimu. Huwezi kusema rais anavunja katiba wakati wewe mwenyewe unadhalilisha utu wa rais katika kufikisha ujumbe wako. Wewe pia unavunja katiba kwa kufanya hivyo.

Msiturudishie upinzani wa kina Jonas Savimbi.

Kuna kiongozi mmoja wa upinzani simtaji jina katika hotuba zake lazime atishie kumwagika damu. Na kwenye hii hotuba ya juzi rais wa Tanzania kafananishwa na mfalme wa Ufaransa aliyechinjwa.

Give me a break! Hakuna siasa za hivyo Marekani.
Rubbish1
 
acheni ujinga ccm.mbona mnakuza maneno?tundu lisu anajua anachokifanya,sehemu gani kamuita huyo mungu wenu mjinga?jamaa yuko smart anajua anachokifanya mpelekeni mahakamani akawaumbue huko
 
Back
Top Bottom