Hakuna mwanamume anayemtamani mkewe tu

Hakuna mwanamume anayemtamani mkewe tu

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
Najua ni ngumu ... lakini naamini kwamba hakuna mwanamume anayempenda mkewe tu... akitoka nje ya nyumbani kwake anatoa macho kwa wanawake wengine kwa kuwatazama kwa bashasha na kuonyesha ishara ya kuwapenda... na sehemu kubwa ambazo wanaume wengi wanapenda kuziangalia ni makalio, miguu, macho na sura... ni tamaa au nini
 
wanaume tumeumbwa na MOYO ambao hutufanya tuwapende wake/wapenzi wetu tu, pia tumeumbwa na KOLOMEO, hili hutufanya kumtamani kila mwanamke asiye ndugu yetu, kuna wengine wana KOLOMEO baya sana ambalo huwafanya kutamani hata wanawake wenye undugu nao. Kuhusu sehemu tunazopenda kuangalia, umesahau kifua na katikati ya mapaja^ yao kwa juu.
 
Najua ni ngumu ... lakini naamini kwamba hakuna mwanamume anayempenda mkewe tu... akitoka nje ya nyumbani kwake anatoa macho kwa wanawake wengine kwa kuwatazama kwa bashasha na kuonyesha ishara ya kuwapenda... na sehemu kubwa ambazo wanaume wengi wanapenda kuziangalia ni makalio, miguu, macho na sura... ni tamaa au nini

haswaa sisi wanaume tunapenda kweli kuangalia na kusifia makalio ya wanawake lakini wakati wa kugegedana wengi wetu huwa hatuyatumii kabisa katika ule mchezo wa kuruka ukuta.
 
Najua ni ngumu ... lakini naamini kwamba hakuna mwanamume anayempenda mkewe tu... akitoka nje ya nyumbani kwake anatoa macho kwa wanawake wengine kwa kuwatazama kwa bashasha na kuonyesha ishara ya kuwapenda... na sehemu kubwa ambazo wanaume wengi wanapenda kuziangalia ni makalio, miguu, macho na sura... ni tamaa au nini

Heading na habari yenyewe hazifanani, kwasababu kupenda na kutamani ni vitu viwili tofauti kabisa
 
Mie nikisikia hivyo Moyo Paaaaaaaaa! manake nnavyo jitahidi lakini ndio hivyo tena,namuomba mungu kutwa huyu bwana
aone lakini asitamani......
 
Kutazama kwa bashasha hakumaanishi kupenda. Unaongelea tamaa ama upendo?
 
aaaaaaa! huyo hakuwa tayari kuingia kwenye ndoa but pray Only God will save you
 
Men are cannal creatures!!!! Unashangaa nini? Hii ni nature ya uumbaji
 
Kutamani si kupenda. Kama anampenda mkewe na kutamani wengine ni sawa tu.
Si kila mwanamke unayelala naye una mpenda... Ni tamaa, na ukifanikiwa kukidhi hiyo tamaa unasepa unarudi kwa mkeo.
 
mke alipendwa ndio maana akaitwa mke
hatamaniwi,hao wa huko nje ndio wanatamaniwa!!

Mnacho shangaa hapa ni nini? siwaelewi manake nikiwauliza je hamjawahi kusoma vitabu vitakatifu? mkaona enzi hizo wanaume walikuwa wanaoa hata wake mia sita? ni nani ambae hajawahi kuwa na babu yake mwenye mke zaidi ya mmoja? Kwenu hakuna mtoto wa nje, Hamjawahi kusikia kuwa wanyama wengi madume huwa wanakufa kwa kupigania majike nf, Simba,Nyani, mbwa nk. Hii ndo hali halisi ya mwanaume lazma aone kisha atamani na akivutiwa lazma atimize haja yake hata kama ni kwa gharama kiasi gani. Ila tofautisha kupenda na kucheza.
 
Najua ni ngumu ... lakini naamini kwamba hakuna mwanamume anayempenda mkewe tu... akitoka nje ya nyumbani kwake anatoa macho kwa wanawake wengine kwa kuwatazama kwa bashasha na kuonyesha ishara ya kuwapenda... na sehemu kubwa ambazo wanaume wengi wanapenda kuziangalia ni makalio, miguu, macho na sura... ni tamaa au nini
All husbands are like Bluetooth, Always connected to WIFE when she is around... But the moment WIFE is away... they automatically start searching new devices....
 
not all, it could be better most of them
 
Back
Top Bottom