NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,284
mkuu humpendi mke wako nini??
Mbona wengine ndoa bado lakini one gal at a time, pamoja na kua kwenye relationship muda mrefu.. Nahisi huyo hajui kukufanya ujisikie mwenyewe dunia nzima, ukipata wa kukufanya hivo wengine utaona binadamu wa kawaida tu