Hakuna mwanamke wa peke yako

Hakuna mwanamke wa peke yako

Msituletee habari zenu kwani mwanaume wa pekeako yupo
 
Kama ulikosea kuoa baki na kimeo chako.
 
kukaa na mke ni burudani tosha kabisaa. wala siyo karaha. hasa akiwa.... watani zenu hao
 
Tupo, and very faithful ones, sema kuna wanawake pasua kichwa sijui huwa hajui wanachokitaka kwenye mahusiano au hawaridhiki, tena hakuna raha kama kuwa na mwanaume mmoja maana unakua hauna wasiwasi wa amisha hata simu inakua free hakuna password wala kufichaficha
Labda tu aamue mwenyewe huu ndio ukweli kwa hivyo usikubali kujidanganya.ukifanikiwa kuzaa na mwanamke we jivunie tu mtoto.kuishi na mwanamke Ni shida yataka moyo.
 
Back
Top Bottom