ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,801
- 60,645
Labda tu aamue mwenyewe huu ndio ukweli kwa hivyo usikubali kujidanganya.ukifanikiwa kuzaa na mwanamke we jivunie tu mtoto.kuishi na mwanamke Ni shida yataka moyo.
Afu kuna mmoja analazimisha kuja kwangu akae ili anibane ntamkwepa tuLabda tu aamue mwenyewe huu ndio ukweli kwa hivyo usikubali kujidanganya.ukifanikiwa kuzaa na mwanamke we jivunie tu mtoto.kuishi na mwanamke Ni shida yataka moyo.
Mmh acha kudanganya watu aisee, wako wanawake wengi Sana wanajiheshimuLabda tu aamue mwenyewe huu ndio ukweli kwa hivyo usikubali kujidanganya.ukifanikiwa kuzaa na mwanamke we jivunie tu mtoto.kuishi na mwanamke Ni shida yataka moyo.
Bora umwambieAcha urongo kuishi na mwanamke ni paradiso.sema wewe venye umekaa naye mbofu mbofu..
Nakazia wino kwenye haya maneno "Labda tu aamue mwenyewe "Labda tu aamue mwenyewe huu ndio ukweli kwa hivyo usikubali kujidanganya.ukifanikiwa kuzaa na mwanamke we jivunie tu mtoto.kuishi na mwanamke Ni shida yataka moyo.
Hakika huku ni "kupatwa kwa ndege"Naona bwana ndege umepatwa mahali...
Imemnyeaa.....😅Hakika huku ni "kupatwa kwa ndege"
Aisifiaye mvua?..…..
Tena ya RADI na mafuriko.Imemnyeaa.....😅
😂😂😂😂Tena ya RADI na mafuriko.
Kaibuka na uzi mwingine nimeku tag😉
Nakazia wino kwenye haya maneno "LABDA TU AAMUE MWENYEWE"
Eid mubarakNa bado!!
Na kwako pia.Eid mubarak