Hakuna mwanamke mwenye mdomo mbele ya mumewe

Zqmani kulikuws na wanaume!!!!!


Siku hizi kuna jinsia ya kiume.


Tulee watoto wetu wawe wanaume!!!!!
Me baba yangu na mama yangu wote ni waajiriwa wa serikali lakini sijawahi kuona baba akimsubiria mama anunue kitu flani kwasababu na yeye Ana mshahara. Baba anasimamia shoo mwanzo mwisho ili matumbo yetu yashibe, tuvae na tusome. Pia anasimamia maendeleo ya familia.
Bila kujali kusimamia shoo baba kwa gharama zake tena alimsaidia mkewe yani mazaa kuongezea elimu hadi kufikia kadiploma ka fani yake (awali aliishia cheti tu).
Sa why mwanaume upigie hesabu kipato cha mkeo? Yeye atoe tu akipenda ila usimlazimishe.
 
Heheh gram mbili kwa sanamu nzimaaa?
Hawa wanaume wa humu washakugeuza moyo ...shogaa hawa wanaume watakutoa machoo...unaona ninavyopondwaaa? Eti nitakuwa wale wenye mdomo
wanaume ni kama watoto dear, tuwalee tu
 
Zqmani kulikuws na wanaume!!!!!


Siku hizi kuna jinsia ya kiume.


Tulee watoto wetu wawe wanaume!!!!!
Kabisa mkuu,
We pata picha wanaume walivyo crush swala la wao kusimamia shoo. Yani hawataki kusikia. Baba awe baba na kichwa cha nyumba na mama awe mama kama msaidizi wa baba.
 
Wanapinga sana ila kuna mahali wamefeli sasa wanahamishia mzigo kwetu. Hebu waamue kuwa wanaume halafu tuone nini kitafuata.
Wanaume wakiamua kuwa wanaume mbona dunia ni salama sana, wanawake tumeumbwa na moyo wa upendo na uvumilivu sana
 
Mwanamke anauheshimu MWANAUME tu, ukiona huheshimiki basi ujue unapungua kuwa MWANAUME.
 





Ova
 





Ova
Nini cha ajabu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom