Hakuna mwanamke ambaye hajawahi ‘kujiuza’

Hakuna mwanamke ambaye hajawahi ‘kujiuza’

Ndoa zenyewe mnazowatoshia watu sasa🤢🚮View attachment 3559401
😀 Changu ni changu, hakiombeki.

Kuna relationship na Ownership.
Nadhani hii ni Ownership.

Ngoja niwaze nje ya box.. 🤔
Labda pengine mume wa huyo dada hana pesa ya kujaza mafuta gari zote mbili. (maana ukimpa mke gari moja, maana yake inabidi umpe na mafuta ya kupigia misele) so jamaa kaona ni bora itumike bajaj ili mke atumie kwa usafiri.

Mbili,... labda jamaa anaamua kum-stretch mkewe to the limit ili ampime tabia.

Tatu... Ukute labda gari ni za mkopo na bado jamaa anataka mpaka amalize mkopo gari zikiwa hazina mikwaruzo.

Nne... Labda kuna kitu, na wote wawili hawaaminiani kwenye ndoa yao.

Tano... Labda jamaa anao wivu mkali mnooooooo, kiasi kwamba anataka mkewe asijichanganye changanye na wadau (that's why hataki hata afanye biashara)

Sita.. inawekana, jamaa amejaa mahaba kwa bibie ila kuna vitu kaviona kwa mkewe na inafanya aogope kumpa uhuru kihivyooo.

Mwishoooooo... Hebu muulize huyo bi dada, je anatunzwa vizuri na jamaa? (anapatiwa mahitaji yake muhimu kulingana na kipato cha mumuwe)..
Je, mahitaji yake ya kindoa anayapata?
Je, hasimangwi, hasemwi semwi na jamaa?

Lastly... Atafute muda akae na mumewe wadiscuss mtazamo wao wa maisha..
Kila mmoja aelezee falsafa yake ya life, mtazamo na mipango yake ya muda mfupi na mrefu (kimapenzi, uchumi, n.k)

Kisha kila mmoja ajitahmini, Je, anao uhitaji wa ndoa?
Je, anao upendo kwa mwenzie? Je, anaiona future yao pamoja na yupo tayari kwa shida na raha?
Kama kwa wote majibu ni ndiyo, basi wa-focus kwenye kucompromise kisha wajicommit.
 
😀 Changu ni changu... Hakiombeki.

Kuna relationship na Ownership.
Nadhani hii ni ownership.
💯
Ngoja niwaze nje ya box.. 🤔
Labda pengine mume wa huyo dada hana pesa ya kujaza mafuta gari zote mbili. (maana ukimpa mke gari moka, maana yake inabidi umpe na mafuta ya kupigia misele) so jamaa kaona ni bora itumike bajaj ili mke atumie kwa usafiri.
Hapana!! Nakataa
Mbili, labda jamaa anaamua kum-stretch mkewe to the limit ili ampime tabia.

Tatu... Ukute labda gari ni za mkopo na bado jamaa anataka mpaka amalize mkopo gari zikiwa hazina mikwaruzo.
HAPANA!!!
Nne... Labda kuna kitu, na wote wawili hawaaminiani kwenye ndoa yao.

Tano... Labda jamaa anao wivu mkali mnooooooo, kiasi kwamba anataka mkewe asijichanganye changanye na wadau (that's why hataki hata afanye biashara)
Inawezekana ila ndio amwambie aendeshe gari la nani??
Sita.. inawekana, jamaa amejaa mahaba kwa bibie ila kuna vitu kaviona kwa mkewe na inafanya aogope kumpa uhuru kihivyooo.
So kwelii.. yani uniambie nitafute vyangu ndio mahaba gani haya??
Mwishoooooo... Hebu muulize huyo bi dada, je anatunzwa vizuri na jamaa (anapatiwa mahitaji yake muhimu kulingana na kipato cha mumuwe)..
Je mahitaji yake ya kindoa anayapata?
Je, hasimangwi, hasemwi semwi na jamaa?
Sijui ila kama kweli anamwmabia atafute vya kwake pia, kazi anayo!
Lastly... Atafute muda akae na mumewe wadiscuss mtazamo wao wa maisha.. Kila mmoja aelezee falsafa yake ya life, mtazamo na mipango yake ya muda mfupi na mrefu (kimapenzi, uchumi, n.k)
Kisha kila mmoja aangalie, Je anao uhitaji na ndoa na anao upendo kwa mwenzie na je a aiona future yao pamoja..
Kama ndio wa-focus kwenye kucompromise kisha wajicommit.
Hivi unaingiaje kwenye ndoa na mtu bila kuwekana sawa? Ndio zile desperations za kukimbilia kuvaa shera ili uonekane! Unaolewaje na mtu mwneye mambo kama haya then unakuja kushangaa! Unanioa ili tuje kufanya vikao kama hivi, seriously!!!😒

Hawa watanyooshana sana! Hakuna upendo kuna ubinafsi wa hali ya juu, una magari mawili unamnyima mkeo moja tena kutumia tu sio kujimilikisha! Issue ya mafuta ndio ilete mjadala wa kutotumia hii gari🫢
 
💯

Hapana!! Nakataa

HAPANA!!!

Inawezekana ila ndio amwambie aendeshe gari la nani??

So kwelii.. yani uniambie nitafute vyangu ndio mahaba gani haya??

Sijui ila kama kweli anamwmabia atafute vya kwake pia, kazi anayo!

Hivi unaingiaje kwenye ndoa na mtu bila kuwekana sawa? Ndio zile desperations za kukimbilia kuvaa shera ili uonekane! Unaolewaje na mtu mwneye mambo kama haya then unakuja kushangaa! Unanioa ili tuje kufanya vikao kama hivi, seriously!!!😒

Hawa watanyooshana sana! Hakuna upendo kuna ubinafsi wa hali ya juu, una magari mawili unamnyima mkeo moja tena kutumia tu sio kujimilikisha! Issue ya mafuta ndio ilete mjadala wa kutotumia hii gari🫢
Gari linataka kutishia usalama na afya ya ndoa yao., Aisee.

Tukiacha suala la gari, na suala la kunyimwa ruhusa ya kufanya biashara.

Je, bibie hapatiwi haki zake zingine za msingi na za ndoa?

Nawaza, probably unawezakuta jamaa kwingine kote yupo poa, ila sekta hizo mbili tu ndo anasua sua.

Nawaza.. Kama mdada anaona hapo alipo hapamfai, basi aondoke tu, atafute vyake ili isilete shida baadae.. Akiendelea kukaa basi asilalamike, mapenzi gharama, apige kimyaaaa.
 
Na moja ya vitu vinavyompa furaha ni dame, vitu vinavyompa furaha dame ni pesa! Woii

Hivi why mnamuita mr kishingo? Yupo kama kuku kishingo!🤣
You killed it... 🙌🏾
Mr Kishingo, anapenda vyote viwili, pesa na slay queen.

Na slay queen, anapenda pesa.

Mr Kishingo aka-calculate, akaona kufukuzia vyote viwili (pesa na slay queen) itamchanganya.

Akagundua akipata mfumo mzuri wa uchumi, hapo atapata vyote viwili (pesa na slay queen)

Mr Kishingo, a very smart man! 🙌🏾
 
Na moja ya vitu vinavyompa furaha ni dame, vitu vinavyompa furaha dame ni pesa! Woii

Hivi why mnamuita mr kishingo? Yupo kama kuku kishingo!🤣
Hautaki tumuite kwa kiwakilishi cha "Mr Kishingo"

Hebu tusaidie utupatie jina au kiwakilishi kipya ili tukitumie kumrefer huyu mwamba.

Najua utampa jina la, "Zungu Ki-neck"
 
Gari linataka kutishia usalama na afya ya ndoa yao., Aisee.
Bora wasingekuwa nalo tu🤣
Tukiacha suala la gari, na suala la kunyimwa ruhusa ya kufanya biashara.

Je, bibie hapatiwi haki zake zingine za msingi na za ndoa?
Hapo sijui kwakweli
Nawaza, probably unawezakuta jamaa kwingine kote yupo poa, ila sekta hizo mbili tu ndo anasua sua.
Basi mwanamke atakuwa mjinga, japo yupo sahihi
Nawaza.. Kama mdada anaona hapo alipo hapamfai, basi aondoke tu, atafute vyake ili isilete shida baadae.. Akiendelea kukaa basi asilalamike, mapenzi gharama, apige kimyaaaa.
Dahh hii ngumu kumeza😅
 
You killed it... 🙌🏾
Mr Kishingo, anapenda vyote viwili, pesa na slay queen.

Na slay queen, anapenda pesa.

Mr Kishingo aka-calculate, akaona kufukuzia vyote viwili (pesa na slay queen) itamchanganya.

Akagundua akipata mfumo mzuri wa uchumi, hapo atapata vyote viwili (pesa na slay queen)

Mr Kishingo, a very smart man! 🙌🏾
Dahh mr kishingo kaupiga mwingi, na kajiokotea the very raw one😋
 
Tasnia ya mapenzi/mahusiano inapitia mageuzi makubwa, Gen Z hamna uvumilivu kabisa mnatutoa kimasomaso kaka zenu. Zamani tulikua tunahudumia na tunaichapa fresh hatukua tunasema 'tunanunua', kununua ni kama ile unaichapa one time unaweka dau mezani na wanakua na centers zao kama Malindi, Red Stone au Black Diamond.

Vijanaa wana hoja wasikilizwe.
Aisee..mitaa hizo za Moshi. Kuna binti aliwahi kupotea na driva wetu hapo Red Stone
 
Back
Top Bottom