Hakuna movie kali ya kivita kuzidi Saving Private Ryan

Hii movie nimeiona zamani hebu nijaribu kukumbuka leo...

Utamu wa hii movie kwanza ni story yake ambayo ni kisa cha kweli kilichotokea katika vita kuu ya pili ya dunia.

Story iko hivi, wanajeshi wa Marekani wakiwa vitani wanapigwa kipondo cha kufa mtu hali iliyopelekea wengi wao kupoteza maisha.

Sasa baadhi ya miili inarejeshwa kwenda kuzikwa Marekani.

Mama mmoja anapewa habari kuwa watoto wake watatu wamefariki katika uwanja wa kivita, mama analia sana lakini anawaambia watoto wake walikuwa wanne, hivyo kuna mmoja atakuwa aksalia kwenye uwanja wa kivita.

Basi kinatumwa kikosi kwa ajili ya kwenda kumtafuta mtoto wa nne wa yule mama, ambaye ni private ryan.

Wanamkuta private ryan katika uwanja wa vita anakiwasha kweri kweriiii (in mwendazake's voice) katika hali ya kushangaza private ryan anagoma kurudi nyumbani

Balaa sasa lipo hapo...
Mkuu umenihamasisha kwelikweli

Ngoja niipakue
 
mkuu kwema lakini , naona leo umetukumbusha mambo adimu kipindi kile madirector wanakupeleka utafikiri kitu cha kweli kabisa ...

Kabisa mkuu, nilikuwa napekuwa pekuwa hapa nikaikuta ikabidi niirejeee upya
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hii ni mwisho wa matatizo, kwanza mwanzo tu wa movie kama una roho nyepesi huwezi kuendelea kutazama. Watu walichakazwa na risasi yaani sio poa.

Hivi kuna movie ya kivita kali zaidi ya hii? Nitajie kama ipo
The strike back, seal team six
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom