Uchaguzi 2020 Hakuna mbunge wa upinzani 2020 atayerudi bungeni

Ikiwapendezaa wenye Dola na sirahaa zao wafanye maamzii kuliko yatakayoamliwa na kura!! Iko siku tutawahukumu watakaokuwa hai kwa hayaaa
 
Huo ni uchaguzi mkuu kumbuka kuwa watu wana vinyongo vyao mioyoni mwao na hao wanao ilinda ccm watakuwa wachache sana

In God we trust
 
Watakaorudi bungeni ni Mbowe tuu na Mbatia, Mnyika na wabunge wengine kama watano hvi..nimewasahau majina....The rest kama Lema, Msigwa Zitto, Sugu, Halima mdee, Ester Matiku sjui Easter Bulaya..watafute kazi nyingine ya kufanya
 
Kwa Sheria mpya ya vyama vya siasa upo sahihi labda damu imwagike MABEBERU watusaidie kuingila kati.
 
Bora warudi kidunchuuuu watakaonogesha upinzani wa kweli Bungeni.. na kumsaidia JPM na haswaa wateule wake.. katika kuendelea kuendesha lori lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…