Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Watu wa mkoa wa Mara kwa magomvi. HamuachagiWakuu
Huwa sipendi kuficha
Kwenye ndoa zetu hizi mama mkwe kumpenda mkwewe asilimia mia ni kitu ambacho hakiwezekani. Huwa
Siku moja mama alikuwa anamwaga maji nje na bibi amekaa mbali kwenye mkeka ghafla akaanza kupiga kelele(bibi) huku akimuita baba
Usijaribu
Eeh mara mia mkapange kuliko kukaa na bi.Mkubwa mwenye itikadi za kishamba! Kama unamjua mama yako mtu wa kuongea ongea na kupenda attention jua atamchukia mkeo tu hata iweje 😂😂😂Wakuu
Huwa sipendi kuficha
Kwenye ndoa zetu hizi mama mkwe kumpenda mkwewe asilimia mia ni kitu ambacho hakiwezekani. Huwa
Hilo swala ni gumu kulithibitisha ila kama amani ipo basi anakupenda by 100%Mkeo anakupenda 100%?
TAFUTA PESA wewe boya!Wakuu
Huwa sipendi kuficha
Kwenye ndoa zetu hizi mama mkwe kumpenda mkwewe asilimia mia ni kitu ambacho hakiwezekani. Huwa wanawapenda ki-uongo tu na ki-nje nje. Sababu kubwa ni kuwa kutokana na upendo wa mama kwa mwanae
Hilo nimeliweka waziSuluhisho ni kutoishi Pa1 kati ya mama na mkwewe.
PoaTAFUTA PESA wewe boya! Ukishakua na pesa ukitaka hata kutafuna huyo Mama mkwe Ni halali yako.
Vinginevyo cha moto utakiona 😀😀Eeh mara mia mkapange kuliko kukaa na bi.Mkubwa mwenye itikadi za kishamba! Kama unamjua mama yako mtu wa kuongea ongea na kupenda attention jua atamchukia mkeo tu hata iweje 😂😂😂
Hilo siwezi jua kiufupi sijui kama wanapendanaMkeo anampenda mama mkwe 100%?
Dawa pekee ni kuhakikisha hawakai sehemu moja kwa muda mrefu.
Nitajuaje? Hata yeye anajua nampenda %100?Mkeo anakupenda 100%?
Asiyesikia na asiskie mkuuNa huu ndo ukweli
Wanaume wanaposhindwa kuelewa ni kuwa wanawake wote wana vijitabia vinavyofanana regardless ni watu wazima au vijana!awe mama yako,dada yako au mkeo kuna tabia tu wote wanazo especially kuzira au maneno mengi
Sasa unapoamua kuwaweka watu hawa pamoja uwe makini haswa as unaeza mpoteza mmoja ukagain mmoja(hapa itategemea nani anamzidi mwenzake maneno)
Hata tukipata pesa kuutoa utandale kichwani mwetu ni ngumuNi umasikini tu ndio unatusumbua
Twanini Tandale?hata tukipata pesa kuutoa utandale kichwani mwetu ni ngumu
Hapo sawa.Hilo nimeliweka wazi