Bosi Soma Walawi 17-7Mkuu, Hii elimu ya kuhusu majini unaitoa sana hapa jamvini lakini hawataki kukuelewa.
Bilblia hizi zinazotumika sasa hivi hakuna neno jini sasa sijui elimu kuwahusu hawa viumbe wakristo wanaitoa wapi.
Labda kwenye biblia yenye vitabu 72 ile yenye kitabu cha tobiti ndio imetaja majini kwa kutaja jina kabisa.
Tatizo humu wengi hawapendi kujifunza mambo mapya wanaamini katika wayoambiwa kuwa ndio sahihi pasina kuwa question hao walimu wao,
Majini wema wapo.
Wametajwa Majini.