Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,975
- 2,170
Nina wiki ya pili tangu nimeingia hapa jiji la Dar kutokea kwetum Katavi kuja tekeleza majukumu ya kimaendeleo. Kuna kimoja kilichonishangaza, ni uhaba wa maji katika jiji la Dar es Salaam.
Maeneo mengi ya jiji hakuna maji kabisa (Kimara, Tegeta, Bunju, Boko, Changanyikeni, Salasala, Kawe, Pugu, Mbagala, Makongo, Kigamboni, Yombo, Keko, Temeke, Ubungo, Muhimbili, Sinza etc). Cha ajabu ni huu ukimya wa uongozi wa Wizara ya Maji, Mkoa wa Dar es Salaam na Jiji la Dar es Salaam kuhusu hali hii ambayo inahatarisha maisha ya wananchi.
Mwenye taarifa za ziada kuhusu uhaba huu wa maji namuomba anijulishe ili nami nipate uelewa kama tulivyojulishwa kuwa umeme utakatwa kwenye majiji na mitaa ya watu wenye uelewa tarehe 26 hadi 29 kupisha mjadala wa Escrow bungeni!!!
Source: 24tanzania