Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,677
- 26,998
Kilichokufanya ule ban ni nini?Hujitambui.
Sijaja jf kubishaba na malaya, weka hoja "sijitambui" ndo nini sasa.
Kilichokufanya ule ban ni nini?Hujitambui.
Hujamuelewa bdo.rudia kusoma postUsitake kutuona kama wanafunzi wako ,kwamba unaweza kutupeleka unavyowaza wewe kizembe tu.Sisi tunaofanya biashara ndo tunajua haya mambo yanaendaje, hapo kuna makundi mawili:-
Kuna wafanya biashara wenye mitaji mikubwa ambao wanamiliki frame, na unakuta haohao ndo wanaajili machinga kadhaa ili kutangizia wateja wengine katikati ya mji.Yani unakuta mimi nina frame yangu hapa ila ukipiga kona moja utakuta kuna machinga wangu kapanga chini anauza.
Kuna wale machinga wanaojitegemea.
Kwa uzoefu wangu bila kusimuliwa, kuna machinga wengi tu wametimuliwa sasa hizo habari zako za kusema eti mama ntilie ndo wametolewa sijui umeziokota wapi tu.
Tafuta maarifa na ww....sio kila kitu uletwe hapaKwenye kamusi ipi?
Umeishiwa hoja mkuuTafuta maarifa na ww....sio kila kitu uletwe hapa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app