Hakuna kulala hadi ule kwanza
Au iende jukwaa la picha. Ila dogo karembuaa, hapo ukute hata hajielewi na wasipoangalia anaweza kuchovya maji ya kunawa akajua mchuzi.
Nilipoona title ya thread nikadhani ni Wema anamwambia Diamond mpaka abandue mavituz kwanza ndo alale! Kumbe ni katoto ka Maneromango kanasukumiwa vipande vya mhogo kabla ya kulala!
ni chakula gani hiko anakula