Hakuna kitu kinauma kama kuona jeneza la mpendwa wako likishushwa kaburini

Amani itamalaki

Ni mara mia uumwe mbwa au ulaluliwe na simba lakin si kuona jeneza la ndugu, rafiki au mzazi likishushwa kaburini

Akili huwaga inahama na kuona bora tu hata wewe udanje

Hii ni hatua mbaya sana, ni hatua ambayo mtu huamini kabisa ni kweli huyu mpendwa sitamuona ndo hatua ambayo unaamini kabisa ni kweli huyu ndugu yangu kafa

Na usiombe awe MAMA yako mzazi utatokwa na kamasi ambazo hutaelewa zimetoka wapi

Hapa ndo watu wengi hulia na kusaga meno hata kama mwanzoni walikuwa wamejikaza

Hapa ndo watu wengi sana huzimia

Ni bora ukutane na watu wasiojulikana lakin siyo kukutana na wakati huu hasa hasa kwa mpendwa wako wa karbu utalia na kusaga meno

Vipi Mkuu umeshaanza labda kupata dalili zozote zile za Wewe Kutangulia mbele ya Haki ( Kufa ) hivi karibuni?
 
Amani itamalaki

Ni mara mia uumwe mbwa au ulaluliwe na simba lakin si kuona jeneza la ndugu, rafiki au mzazi likishushwa kaburini

Akili huwaga inahama na kuona bora tu hata wewe udanje

Hii ni hatua mbaya sana, ni hatua ambayo mtu huamini kabisa ni kweli huyu mpendwa sitamuona ndo hatua ambayo unaamini kabisa ni kweli huyu ndugu yangu kafa

Na usiombe awe MAMA yako mzazi utatokwa na kamasi ambazo hutaelewa zimetoka wapi

Hapa ndo watu wengi hulia na kusaga meno hata kama mwanzoni walikuwa wamejikaza

Hapa ndo watu wengi sana huzimia

Ni bora ukutane na watu wasiojulikana lakin siyo kukutana na wakati huu hasa hasa kwa mpendwa wako wa karbu utalia na kusaga meno
Tangu nilipofiwa na mwanangu na nikaingia mochwari kutambua maiti nimekuwa na kausugu flani, inapotokea msiba huwa naumia then na cope shortly after
 
Tangu nilipofiwa na mwanangu na nikaingia mochwari kutambua maiti nimekuwa na kausugu flani, inapotokea msiba huwa naumia then na cope shortly after
Huko ndio kukomaa mimi, nilishuhudia baba akifa polepole ,nikiwa pembeni ya kitanda chake! hadi mwisho....hadi madaktari na manesi waliniheshimu,na ilikuwa mara ya kwanza kukaa karibu na mtu anayekata roho au mwili wa marehemu...sikuwa na uchaguzi/jinsi ...hadil leo imenikomaza kidogo
Ni vizuri kuyaelewa haya mambo kwa kuwa ni nadra sana kuyakwepa maishani! Njia peke ya kuyakwepa labda ufe mapema kabla hujawa mtu mzima!
 
Wengine uwa tunazinduka, kuumia zaidi na kuamini kwamba ni kweli mpendwa wetu kaondoka jumla na hatutaonana nae tena siku ile ya kugawa nguo zake ambapo karibia ndugu wote wa karibu uitwa mbele mmoja mmoja na kugawiwa kimfuko cha rambo chenye nguo ya marehemu.
 
Warumi 8:38
Kwa maana nina hakika kuwa, si kifo wala uzima; si malaika wala mashetani; si mambo ya sasa wala mambo yajayo au mamlaka nyingineyo yote; 39 si mambo yaliyo juu wala yaliyo chi ni sana; wala hakuna kitu kingine cho chote kati ya vitu vyote alivyoumba Mungu kitakachoweza kututenga na upendo wa Mungu ulio ndani ya Kristo Yesu Bwana wetu.
Amen, be blessed Brethren
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom