Hakuna kitu kinauma kama kuona jeneza la mpendwa wako likishushwa kaburini

Mayala B

JF-Expert Member
May 13, 2019
1,450
3,379
Amani itamalaki

Ni mara mia uumwe mbwa au ulaluliwe na simba lakin si kuona jeneza la ndugu, rafiki au mzazi likishushwa kaburini

Akili huwaga inahama na kuona bora tu hata wewe udanje

Hii ni hatua mbaya sana, ni hatua ambayo mtu huamini kabisa ni kweli huyu mpendwa sitamuona ndo hatua ambayo unaamini kabisa ni kweli huyu ndugu yangu kafa

Na usiombe awe MAMA yako mzazi utatokwa na kamasi ambazo hutaelewa zimetoka wapi

Hapa ndo watu wengi hulia na kusaga meno hata kama mwanzoni walikuwa wamejikaza

Hapa ndo watu wengi sana huzimia

Ni bora ukutane na watu wasiojulikana lakin siyo kukutana na wakati huu hasa hasa kwa mpendwa wako wa karbu utalia na kusaga meno
 
Warumi 8:38
Kwa maana nina hakika kuwa, si kifo wala uzima; si malaika wala mashetani; si mambo ya sasa wala mambo yajayo au mamlaka nyingineyo yote; 39 si mambo yaliyo juu wala yaliyo chi ni sana; wala hakuna kitu kingine cho chote kati ya vitu vyote alivyoumba Mungu kitakachoweza kututenga na upendo wa Mungu ulio ndani ya Kristo Yesu Bwana wetu.
 
hatutaishi milele sifa ya mtu kufa.
 
Warumi 8:38
Kwa maana nina hakika kuwa, si kifo wala uzima; si malaika wala mashetani; si mambo ya sasa wala mambo yajayo au mamlaka nyingineyo yote; 39 si mambo yaliyo juu wala yaliyo chi ni sana; wala hakuna kitu kingine cho chote kati ya vitu vyote alivyoumba Mungu kitakachoweza kututenga na upendo wa Mungu ulio ndani ya Kristo Yesu Bwana wetu.
Thanks kwa neno la faraja
 
Mimi naudhunika tu wala sisikitiki najua hata mimi ipo siku nitapita mlango huo. Najua wanaolia sana ni kwa wale wenye utegemezi zaidi hasa watoto wadogo. Wazazi kwa watoto ukataa tu kukubali matokeo kuwa kila nafsi itaonja mauti.

Nayakubari yale makabila hudondosha sherehe ili kupotezea tu.

Kima mama wengi ulia kuona wameachia mzigo, tena unaweza kuta walikuwa wanachepuka wakati marehemu baba akiwa hai.
 
Warumi 8:38
Kwa maana nina hakika kuwa, si kifo wala uzima; si malaika wala mashetani; si mambo ya sasa wala mambo yajayo au mamlaka nyingineyo yote; 39 si mambo yaliyo juu wala yaliyo chi ni sana; wala hakuna kitu kingine cho chote kati ya vitu vyote alivyoumba Mungu kitakachoweza kututenga na upendo wa Mungu ulio ndani ya Kristo Yesu Bwana wetu.
Amina
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom