Hakuna kitu kinakera na kuudhi kama...

Hakuna kitu kinakera na kuudhi kama...

Kiukweli ni kama vile umeniandikia mimi yani
Kila siku ninayosema leo sijisikii kusema na mtu niwe zangu bize ndiyo siku vishkaji vinajidai vina stori visumbufu balaa mara akuulize swali mara aombe hiki mara kile kakiona hutilii maanani stori zake mara kakuite mara kaimitate jambo ili ukaangalie yaani ilimradi tu asikupe nafasi
Wanaboa sana, humpi ushirikiano, unatamani aondoke, ila bado anatafuta visababu vya kukuletea usumbufu.
 
Back
Top Bottom