Hakuna kitu kinakera na kuudhi kama...

Hakuna kitu kinakera na kuudhi kama...

You are very bossy and troublesome - but all in a good way. Deep down I know you are an innocent, decent and sweet lady.
200.gif

I like you...

Adios! 🖐

Ila usiweke headphones ukiwa na Wabongo.
Nitaweka, usinipangie 😅
That's just rude! 🏃🏿‍♂
I’m rude, utazoea kwa lazima 😎
 
Mtu kukukuta umekaa kwa utulivu, umeweka headphones zako masikioni, unafanya mambo yako halafu akaanza kukuongelesha upuuzi tu.

Hasa huku makazini, siyo lazima kila wakati tusemeshane.

Kama unataka kutongoza mwanamke au mdada unataka kumbebisha mwanaume, mtafute nje ya eneo la kazi. Tusifuatane fuatane kama mchwa na kuanzishiana story zisizo na kichwa wala miguu.

Wenye tabia hizo acheni 🤚🤚mnaboa sana 🤬😤

View attachment 3508224

Asanteni na siku njema!
Na nyie wenzake na Eva hamueleweki. Tukiacha kuwasemesha mnakwenda kwa sangoma fasta!
 
Acha upumbavu mtu mzima kutumia headphones huku ukijua zina madhara kwenye masikio yako. Uache huo upuuzi.
 
Na nyie wenzake na Eva hamueleweki. Tukiacha kuwasemesha mnakwenda kwa sangoma fasta!
Swali ni uache kunisemesha kama nani kwangu? kama ni mpenzi nitakufanyia vitu vingine utaniongelesha tu.

Ila kwa mfanya kazi mwenzangu, tusemeshane mambo ya kazi, siyo kuja kuniletea stori za kijinga zisizonihusu.
 
Kiukweli ni kama vile umeniandikia mimi yani
Kila siku ninayosema leo sijisikii kusema na mtu niwe zangu bize ndiyo siku vishkaji vinajidai vina stori visumbufu balaa mara akuulize swali mara aombe hiki mara kile kakiona hutilii maanani stori zake mara kakuite mara kaimitate jambo ili ukaangalie yaani ilimradi tu asikupe nafasi
 
Back
Top Bottom