Hakuna kitu kinakera na kuudhi kama...

Hakuna kitu kinakera na kuudhi kama...

Yaani mtu akigonga mlango mara kadhaa gogo langu siyo kwamba linarudi tu tumboni bali linapanda hadi mgongoni kwa kuhofia iwapo mgongaji anataka kuuvunja mlango ama la.
Afadhali halifiki kichwani 😂
Wanaochomoa dude langu mara nyingi nikiwauliza wanasema ninawaumiza K zao.
Mzee wa kusogeza vizazi, ukuni kama wa farasi unataka wafanyaje sasa?
 
Pole, kwa jinsi unavyoleta mada zako, yaonekana wee mwanamke unatamanisha sana, hatumlaumu njemba mwenzetu!
😂😂 kawaida tu, ila haiba imejaa!
Kajigonga gonga kwako kumbe domo zege! Kutongoza nako kwahitaji maarifa dada!
Hebu mfundishe kutongoza basi, labda yumo humu atasoma!
 
Katika jamii yetu kwanza kuweka headphones kukiwa na watu wengine ni dalili ya social awkwardness, kuwa extreme introverted na inaweza kutafsriwa kama kiburi, kutojali na majivuno.
Ndiyo ni introverted na I don't really care mtu mwingine ananitafsiri vipi.
Ninazo hapa noise cancelling lakini pia najua siwezi kuzivaa kukiwa na watu - iwe kazini au kwingineko maana watu watanisemesha tu. Huwa nasubiri nikiingia ofisini, gym, jogging au nikiwa po pote peke yangu.
Huyu amenifuata ofisini kwangu, nikiwa peke yangu.
Haya mambo yatabadilika polepole lakini kulalamika eti watu wanakusemesha huku umevaa headphones kwa jamii ya sasa siyo halali. Toa hizo headphones. Ongea na watu. Ukiwa peke yako ofisini au kwingineko blast them to the max....
Badilikeni acheni excuses!
 
Mtu kukukuta umekaa kwa utulivu, umeweka headphones zako masikioni, unafanya mambo yako halafu akaanza kukuongelesha upuuzi tu.

Hasa huku makazini, siyo lazima kila wakati tusemeshane.

Kama unataka kutongoza mwanamke au mdada unataka kumbebisha mwanaume, mtafute nje ya eneo la kazi. Tusifuatane fuatane kama mchwa na kuanzisha story zisizo na kichwa wala miguu.

Wenye tabia hizo acheni 🤚🤚mnaboa sana 🤬😤

View attachment 3508224

Asanteni na siku njema!
Popote kazi kazi
 
Huyu amenifuata ofisini kwangu, nikiwa peke yangu.
Sasa si ungemwambia huko huko mkamalizana? Au yupo hapa JF atasoma? Vipi na kesho akikujia tena? Utakuja tena kuanzisha uzi? Au umekuja kutafuta attention na underground validation - which is very normal for introverts?
Badilikeni acheni excuses!
Kubadili mila, desturi, mitazamo na falsafa ya jamii siyo jambo jepesi. Kwa kawaida huchukua vizazi kadhaa.

Kuwa mvumilivu. Labda wanao au wajukuu zako ndiyo watakuja kuinjoi kuvaa headphones bila kusemeshwa na Waswahili wenzao! 😂
 
Back
Top Bottom