Hakuna kitu kinachoninyima rahaa kama kutokuwa na uwezo wa kuzungumza na kuandika kiingereza kwa ufasaha

Tilalilala

Member
Nov 30, 2014
78
66
Husika na mada tajwa hapo juu nikiwa na elimu yangu kidato cha nne kati ya vitu vinavyonipa mawazo ni kutokuwa na uwezo wa kumudu kuongea lugha ya kiiingereza wengine najua wataanza kusema kwanini nisiende kwenye vituo vinavyotoa huduma hizo lakini ukweli ni kwamba nakaa sana kijijini hasa kazi angu kuu ni kilimo ila nipo tayari kama kuna mtu anaweza kunipa ushauri namna ambavho naweza kutatua hili nikiwa hapa hapa kijijini kwetu nitamshukuru sana kama kuna yeyote anawebsite ya kujifunza lugha hii online naomba anipe maujuzi.
 
Wewe ni mzalendo Wa Kweli Nakuomba Ubaki Hivyo Hivyo Na Kiswahili Chako wala Usitamani Lugha Za Mabeberu.
 
Husika na mada tajwa hapo juu nikiwa na elimu yangu kidato cha nne kati ya vitu vinavyonipa mawazo ni kutokuwa na uwezo wa kumudu kuongea lugha ya kiiingereza wengine najua wataanza kusema kwanini nisiende kwenye vituo vinavyotoa huduma hizo lakini ukweli ni kwamba nakaa sana kijijini hasa kazi angu kuu ni kilimo ila nipo tayari kama kuna mtu anaweza kunipa ushauri namna ambavho naweza kutatua hili nikiwa hapa hapa kijijini kwetu nitamshukuru sana kama kuna yeyote anawebsite ya kujifunza lugha hii online naomba anipe maujuzi.
Hata ukijifunza ukajua utazungumzia wapi? Au huko kijijini kwenu wanatambaa na ngeli? Maana lugha inazaliwa inakuwa na isipotumika inakufa pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona tatizo hili ni la taifa? Usisosoneke.

Back
Top Bottom