Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,501
- 6,647
Hakuna kitu kibaya sana humu duniani kama shida"
Haichagui mtu siku wala mwaka oohh,
Haina katu taarifa shida uingia bila hodi
Si mtoto wala mkubwa iko shida-aa,
Kila siku shida shida haishi hadi siku ya mwisho-oo,
INSTRUMENTALS.. Phee phee phee phee pheee pheee phee phee pheeeeee🎷🎺
Shida kamwe haikosekani hata siku ya harusi,
Na uwe na mapesi mengi ipo shida-oo
Haina ngoja au haina popote shida hutokeza.
Kwa maskini matajiri wote shida-aa, kila siku shida, shida, haishi hadi siku ya mwisho
By MBARAKA MWARUKA MWINSHEHE