Hakuna kitu kibaya kama kutokuwa mwaminifu kwa mkeo/mmeo

Bra-joe

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,562
986
Mke na mume walikuwa wamelala, mke akawa anaota kwa sauti "kimbia, kimbia, mme wangu amerudi" mume kusikia hivyo alikurupuka akatokea dirishani, kifika nje akagundua yupo kwake, akarudi tena ndani kupitia dirishani, akamuuliza mke wake "ndoto gani hiyo umeota?" mke akamjibu "kwa nini ulikimbia?" baada ya hapo hakuna aliyejibu wala kuuliza tena swali.
 
...nimecheka sana wakati naanza kusoma, nilipofika mwisho mbavu zimebadilishana nafasi.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom