Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,414
tu posho posho tu na kutumwaYaani unajitolea bila kulipwa chochote kabisa??
Unaishi vipi mkuu, au unaibia ofisi??
tu posho posho tu na kutumwaYaani unajitolea bila kulipwa chochote kabisa??
Unaishi vipi mkuu, au unaibia ofisi??
Kwa hiyo sehemu nyingi ni mwendo wa kubangaiza bangaiza tu..Nenda pale clouds fm uwone watu kwanza yani wanaolipwa hata 20 hawafiki.Nenda Azam kwenye viwanda vyake unaweza kuona watu wengi lakini ni kama wanajitolea maana sio ajira rasmi wala mkataba kamili
Nchi hii ukianza kuangalia watu wanavyo fanya ushenzi we acha tu.Kwa hiyo sehemu nyingi ni mwendo wa kubangaiza bangaiza tu..
Dah.. nchi yetu bado sana..kelele ndio nyingi tu.
..hata wachina wanachoma MAHINDI na KUUZA KARANGA Dar na mikoaniKuna kazi nyingi, za kuchoma mahindi, kutembeza karanga, kuuza vitumbua, genge la matunda n.k na zote zinaingiza hela.
Amelamba kandalasi.Farhani
Maisha yatakuelekeza cha kufanya..hata wachina wanachoma MAHINDI N A KUUZA KARANGA Dar na mikoani
Ni maumivu mkuu nawakupi hata 100 na muda mwingine wamekuchoka wanataka uondoke.Wanangu majobless,
Hakuna kitu inauma kama kazi za kujitolea. Yani unakuta hadi mwaka unakata, ukiangalia umri unaenda dah noma sana.
Duh ni course gan kasoma.kabisa bora upige kaz za nguvu/kiwandani ili uwez kujitegemea.Unazungumzia mwaka kukata, nna jamaa yangu huu mwaka wa 6 anajitolea, ni zaidi ya utumwa bora nipige kazi za nguvu
Coures gan umesoma?Wanangu majobless,
Hakuna kitu inauma kama kazi za kujitolea. Yani unakuta hadi mwaka unakata, ukiangalia umri unaenda dah noma sana.
Kozi za fedha mkuu.Duh ni course gan kasoma.kabisa bora upige kaz za nguvu/kiwandani ili uwez kujitegemea.
Oh TRA ajaenda piga usail.ila posho akosi aiwezekan akae miaka 6 bila kulipwa.Kozi za fedha mkuu.
Bora ukomae na kitaa ukiweka nia na juhudi utatoboa tu.
Posho haizidi 300k kwa mwaka sasa si upimbi huoOh TRA ajaenda piga usail.ila posho akosi aiwezekan akae miaka 6 bila kulipwa.