matatizo mengi sana kwenye jamii yangeepukika kama tungeilewa vema hii kanuni ya impermanence, kwamba kila kitu kinapita na hakuna kitakachodumu milele! tunapokuwa na mapenzi yaliyopitiliza kwa baadhi ya vitu tunajijengea ugonjwa mbaya sana utakaokuja kutuumiza na kuleta madhara makubwa mara vile vitu vikitutoka au vikikoma kuwa vyeti kwa sababu yoyote ile. tujifunze kuikubali hii kanuni ili vile vyote tunavyovimiliki siku vikiondoka tusiumie sana na yasiwepo madhara, watu wamejiuwa au wameuwa au kuwaumiza wengine kwasababu tu ya mapenzi, watoto wamejeruhiwa kwasababu wamepoteza au kuharibu chombo au kifaa cha nyumbani, wengine wakiachwa na ulemavu wa kudumu. hatuna umiliki wa kudumu kwenye chochote kile utafika wakati vinakoma kuwa vyetu na vitatuondoka kwa njia tofauti kama wizi, kuharibika, kupotea nk. kwa jinsi hii tutaponya majeraha mengi na kupunguza athari nyingi pindi vikomapo kuwa katika milki yetu
Ni kweli mkuu hujakosea na sisi binadamu tunajisahau sana hapa duniani na kujiona kama tutakuwepo milele kumbe ni mapito tu.
Ujumbe umefika
Kweli mkuu wangu juuMkuu, bila kujisahau japo kiasi, hatungeweza kufanya jambo lolote la maendeleo hapa duniani. Maana muda mwingi tungekuwa tunafikiria kufa tu.
Mkuu, bila kujisahau japo kiasi, hatungeweza kufanya jambo lolote la maendeleo hapa duniani. Maana muda mwingi tungekuwa tunafikiria kufa tu.
too general
Unaweza kunisaidia maana ya "kila kitu"?
Halafu ukishanisaidia hilo unisaidie kama kuna anaejua "kila kitu"
Mtoa mada amenichanganya!
Ahsante kwa ujumbe mzuri na ni somo linaloweza kutuondolea stress baadae manake ya kesho hatuyajuimatatizo mengi sana kwenye jamii yangeepukika kama tungeilewa vema hii kanuni ya impermanence, kwamba kila kitu kinapita na hakuna kitakachodumu milele! tunapokuwa na mapenzi yaliyopitiliza kwa baadhi ya vitu j tunajijengea ugonjwa mbaya sana utakaokuja kutuumiza na kuleta madhara makubwa mara vile vitu vikitutoka au vikikoma kuwa vyeti kwa sababu yoyote ile. tujifunze kuikubali hii kanuni ili vile vyote tunavyovimiliki siku vikiondoka tusiumie sana na yasiwepo madhara, watu wamejiuwa au wameuwa au kuwaumiza wengine kwasababu tu ya mapenzi, watoto wamejeruhiwa kwasababu wamepoteza au kuharibu chombo au kifaa cha nyumbani, wengine wakiachwa na ulemavu wa kudumu. hatuna umiliki wa kudumu kwenye chochote kile utafika wakati vinakoma kuwa vyetu na vitatuondoka kwa njia tofauti kama wizi, kuharibika, kupotea nk. kwa jinsi hii tutaponya majeraha mengi na kupunguza athari nyingi pindi vikomapo kuwa katika milki yetu
Au akambinafsisha?Usije tu ukauza mke