Hakuna kibaraka, haramia au gaidi ataruhusiwa kuandamana popote pale Tanzania

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
36,155
Reaction score
30,836
Ndugu wadau wa heshima na wa maana sana JF,
Ni vizuri kama waTanzania kuelimishana na kufahamishana kinagaubaga kwamba maandamano ya aina yoyote nchini kwetu ni haki ya kila kundi, na ni shartiyafanyike kulingana na sheria za nchi, lakini pia yawe yenye kibali kutoka kwenye vyombo vya ulinzi na usalama hususani polisi, ili hatimae yapewe baraka za kisheria, yalindwe na yafanyike katika hali ya utulivu, usalama na amani.

Kwamfano yapo maandamano yaliyofanyika mwaka mwaka uliopita 2024, yakiongozwa na miongoni mwa vyama vya siasa nchini, ambayo kwakweli yalifuata utaratibu wote wa kisheria na kiusalama na hatimae yakafanyika kwa amani karibu katika majiji yote humu nchini. Hapakutokea vurugu wala uharibifu wa aina yoyote wa mali au miundombinu bali yalifanyika kwa utulivu na usalama wa kiwango cha juu sana na viongozi wa maandamano yale walijulikana kote nchini, lakini pia malengo ya maandamano yale hayakua ya kificho bali yalikua ya wazi kwa umma na dunia nzima.

Kama mTanzania mzalendo,
napenda kuwafahamisha wadau wa JF na waTanzania wote wema kwa ujumla kwamba, sina shaka yoyote kwamba maandamano yasiyo na kibali wala ulinzi wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini, kamwe hayataruhusiwa kufanyika Tanzania, zaidi sana maandamano yasio na uongozi unaotambulika na yaliyo na malengo ya kificho, kamwe hayataruhusiwa kufanyika kwenye ardhi ya amani ya Tnazania.

Niwasihi tu mamluki wote wa maandamo haramu Tanzania,
Hakuna kikundi cha mercenaries, vibaraka, maharamia au magaidi kitakachoruhusiwa kufanya aina yoyote ya maandamano popote Tanzania. Hakuna maandamano duniani yenye lengo la kudai uhuru na haki ya kupora mali, kuharibu mali na miundombinu ya umma na binafsi au kuvuruga amani na uTulivu miongoni mwa wananchi Tanzania, hiyo haitatokea Tanzania.

Amani na utulivu miongoni mwa waTanzania vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile.
Na muhalifu yeyote atakaethubutu kulazimisha yaliyo kinyume na sheria au kufanya mikusanyiko yenye viashiria vya fujo, vurugu uharibifu au kuhatarisha amani ya nchi atakabiliwa kwa mujibu wa sheria na kushughulikiwa na vyombo vya ulinzi na usalama bila kumchelewesha, kumuonea haya wala huruma kulingana na taratibu za kiusalama.

Mungu Ibariki Tanzania
 
Ni kweli. Mashehena, mashehetani na machawa wanamuona kila anayetaka kupigania haki yake kama kibaraka na gaidi ilihali wakiwakumbatia mafisi na mafisadi waliomo madarakani. Kuandamana ni jambo la hatari kwa kila chawa na zwazwa nchini. Umeandika ukweli na kuthihirisha uchawa vya hali ya kunuka. Phew!
 
Gentleman,
duniani kote hapajawahi kutokea eti magaidi au maharamia wanapewa kibali cha kuandamana kudai haki na uhuru wa kuleta fujo, kufanya vurugu, kuharibu miundombinu ya umma na binafsi, au iliwahi kutokea wapi hiyo gentleman? :NoGodNo:
 
Wakati unaandika huu Upumbavu umewasha VPN,bila VPN Huwezi kuingia JF Wala kutumia JF!

Watanzania wenye akili timamu wanaposema wanaandamana nia ja dhumuni ni kupinga uonevu unaofanywa dhidi ya Vyombo vya habari!,wewe Kwa akili yako fupi unadhani watu wakiandamana watakupiga Pumbu mbele ya kadamnasi,waandamanaji hawana Nia na mataqo yako makubwa!,wao wanataka Haki!

Ukitaka kujua wewe ni ZEZETA ila hujijui ni pale ambapo hapa JF unaingia Kwa kutumia VPN na bado unamsifia aliyefanya ukose Uhuru wa maoni!

Baba yako angetumia Kondomu ni hakika tusingekuwa na ZEZETA hapa JF leo
 
Ndugu wanadu wa heshima na wa maana sana JF,
Ni vizuri kama waTanzania kuelimishana na kufahamishana kinagaubaga kwamba maandamano ya aina yoyote nchini kwetu ni haki ya kila kundi, na ni shartiyafanyike kulingana na sheria za nchi, lakini pia yawe yenye kibali kutoka kwenye vyombo vya ulinzi na usalama hususani polisi, ili hatimae yapewe baraka za kisheria, yalindwe na yafanyike katika hali ya utulivu, usalama na amani.

Kwamfano yapo maandamano yaliyofanyika mwaka mwaka uliopita 2024, yakiongozwa na miongoni mwa vyama vya siasa nchini, ambayo kwakweli yalifuata utaratibu wote wa kisheria na kiusalama na hatimae yakafanyika kwa amani karibu katika majiji yote humu nchini. Hapakutokea vurugu wala uharibifu wa aina yoyote wa mali au miundombinu bali yalifanyika kwa utulivu na usalama wa kiwango cha juu sana na viongozi wa maandamano yale walijulikana kote nchini, lakini pia malengo ya maandamano yale hayakua ya kificho bali yalikua ya wazi kwa umma na dunia nzima.

Kama mTanzania mzalendo,
napenda kuwafahamisha wadau wa JF na waTanzania wote wema kwa ujumla kwamba, sina shaka yoyote kwamba maandamano yasiyo na kibali wala ulinzi wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini, kamwe hayataruhusiwa kufanyika Tanzania, zaidi sana maandamano yasio na uongozi unaotambulika na yaliyo na malengo ya kificho, kamwe hayataruhusiwa kufanyika kwenye ardhi ya amani ya Tnazania.

Niwasihi tu mamluki wote wa maandamo haramu Tanzania,
Hakuna kikundi cha mercenaries, vibaraka, maharamia au magaidi kitakachoruhusiwa kufanya aina yoyote ya maandamano popote Tanzania. Hakuna maandamano duniani yenye lengo la kudai uhuru na haki ya kupora mali, kuharibu mali na miundombinu ya umma na binafsi au kuvuruga amani na uTulivu miongoni mwa wananchi Tanzania, hiyo haitatokea Tanzania.

Amani na utulivu miongoni mwa waTanzania vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile.
Na muhalifu yeyote atakaethubutu kulazimisha yaliyo kinyume na sheria au kufanya mikusanyiko yenye viashiria vya fujo, vurugu uharibifu au kuhatarisha amani ya nchi atakabiliwa kwa mujibu wa sheria na kushughulikiwa na vyombo vya ulinzi na usalama bila kumchelewesha, kumuonea haya wala huruma kulingana na taratibu za kiusalama.

Mungu Ibariki Tanzania
🌈
 
Tunajipanga tena tuandamane, hivi sasa tunaomba msanii yeyote afanye show ili maandamano yaanzie hapo..
 
vpn yanini gentleman,
JF ni free platform, huna haja ya vpn kuingia.
mihemko inakufanya kujihisi muhalkifu daima :NoGodNo:
 
Tunajipanga tena tuandamane, hivi sasa tunaomba msanii yeyote afanye show ili maandamano yaanzie hapo..
jitahidi tu usiwe mamluki, kibaraka, haramia au gaidi itakusaidi sana,
otherwise,
--- in advance:NoGodNo:
 
Ndugu wanadu wa heshima na wa maana sana JF,
Ni vizuri kama waTanzania kuelimishana na kufahamishana kinagaubaga kwamba maandamano ya aina yoyote nchini kwetu ni haki ya kila kundi, na ni shartiyafanyike kulingana na sheria za nchi, lakini pia yawe yenye kibali kutoka kwenye vyombo vya ulinzi na usalama hususani polisi, ili hatimae yapewe baraka za kisheria, yalindwe na yafanyike katika hali ya utulivu, usalama na amani.

Kwamfano yapo maandamano yaliyofanyika mwaka mwaka uliopita 2024, yakiongozwa na miongoni mwa vyama vya siasa nchini, ambayo kwakweli yalifuata utaratibu wote wa kisheria na kiusalama na hatimae yakafanyika kwa amani karibu katika majiji yote humu nchini. Hapakutokea vurugu wala uharibifu wa aina yoyote wa mali au miundombinu bali yalifanyika kwa utulivu na usalama wa kiwango cha juu sana na viongozi wa maandamano yale walijulikana kote nchini, lakini pia malengo ya maandamano yale hayakua ya kificho bali yalikua ya wazi kwa umma na dunia nzima.

Kama mTanzania mzalendo,
napenda kuwafahamisha wadau wa JF na waTanzania wote wema kwa ujumla kwamba, sina shaka yoyote kwamba maandamano yasiyo na kibali wala ulinzi wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini, kamwe hayataruhusiwa kufanyika Tanzania, zaidi sana maandamano yasio na uongozi unaotambulika na yaliyo na malengo ya kificho, kamwe hayataruhusiwa kufanyika kwenye ardhi ya amani ya Tnazania.

Niwasihi tu mamluki wote wa maandamo haramu Tanzania,
Hakuna kikundi cha mercenaries, vibaraka, maharamia au magaidi kitakachoruhusiwa kufanya aina yoyote ya maandamano popote Tanzania. Hakuna maandamano duniani yenye lengo la kudai uhuru na haki ya kupora mali, kuharibu mali na miundombinu ya umma na binafsi au kuvuruga amani na uTulivu miongoni mwa wananchi Tanzania, hiyo haitatokea Tanzania.

Amani na utulivu miongoni mwa waTanzania vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile.
Na muhalifu yeyote atakaethubutu kulazimisha yaliyo kinyume na sheria au kufanya mikusanyiko yenye viashiria vya fujo, vurugu uharibifu au kuhatarisha amani ya nchi atakabiliwa kwa mujibu wa sheria na kushughulikiwa na vyombo vya ulinzi na usalama bila kumchelewesha, kumuonea haya wala huruma kulingana na taratibu za kiusalama.

Mungu Ibariki Tanzania
Sawa. Ngoja tutulie wasombe kwanza. Wakimaliza hayo mashimo tutafugia samaki.

Ila mercury itaua samaki wote tutakaofuga, kisha tutabaki na maji yenye sumu tu.
 
Gentleman,
duniani kote hapajawahi kutokea eti magaidi au maharamia wanapewa kibali cha kuandamana kudai haki na uhuru wa kuleta fujo, kufanya vurugu, kuharibu miundombinu ya umma na binafsi, au iliwahi kutokea wapi hiyo gentleman? :NoGodNo:
Nepal juzi juzi mkuu, bongo lala.
 
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Gentleman,
duniani kote hapajawahi kutokea eti magaidi au maharamia wanapewa kibali cha kuandamana kudai haki na uhuru wa kuleta fujo, kufanya vurugu, kuharibu miundombinu ya umma na binafsi, au iliwahi kutokea wapi hiyo gentleman? :NoGodNo:
Ni kweli. Ila kabla hujawapa hayo majina ambayo huwa wanapewa watu wa dini fulani na kulalamika, ututhibitishie kuwa ni magaidi. Kuita tu haitoshi zaidi ya kuonekana umbea na chuki binafsi au uchawa vya kawaida kwa watu wazembe wa kutafiti na kufikiri.
 
Wakati huo umewasha VPN ili uingie kuandika upumbavu wako JF, sijui hawa mods nao wajinga hawaoni mashudu toka kwa huyu ngumbaru?

Wewe, sa100 na serikali yenu haramu ni kama hamnazo aisee mmefungia jf, x na tiktok(?) ila mpo busy kutoa habari zenu kupitia mitandao mliyoifungia wemyewe? Are you guys okay upstairs?
 
Ni kweli. Ila kabla hujawapa hayo majina ambayo huwa wanapewa watu wa dini fulani na kulalamika, ututhibitishie kuwa ni magaidi. Kuita tu haitoshi zaidi ya kuonekana umbea na chuki binafsi au uchawa vya kawaida kwa watu wazembe wa kutafiti na kufikiri.
This man Tlaatlaah doesn't need soft language to talk with him.

Answer him brutally as he come.
 
Ndugu wanadu wa heshima na wa maana sana JF,
Ni vizuri kama waTanzania kuelimishana na kufahamishana kinagaubaga kwamba maandamano ya aina yoyote nchini kwetu ni haki ya kila kundi, na ni shartiyafanyike kulingana na sheria za nchi, lakini pia yawe yenye kibali kutoka kwenye vyombo vya ulinzi na usalama hususani polisi, ili hatimae yapewe baraka za kisheria, yalindwe na yafanyike katika hali ya utulivu, usalama na amani.

Kwamfano yapo maandamano yaliyofanyika mwaka mwaka uliopita 2024, yakiongozwa na miongoni mwa vyama vya siasa nchini, ambayo kwakweli yalifuata utaratibu wote wa kisheria na kiusalama na hatimae yakafanyika kwa amani karibu katika majiji yote humu nchini. Hapakutokea vurugu wala uharibifu wa aina yoyote wa mali au miundombinu bali yalifanyika kwa utulivu na usalama wa kiwango cha juu sana na viongozi wa maandamano yale walijulikana kote nchini, lakini pia malengo ya maandamano yale hayakua ya kificho bali yalikua ya wazi kwa umma na dunia nzima.

Kama mTanzania mzalendo,
napenda kuwafahamisha wadau wa JF na waTanzania wote wema kwa ujumla kwamba, sina shaka yoyote kwamba maandamano yasiyo na kibali wala ulinzi wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini, kamwe hayataruhusiwa kufanyika Tanzania, zaidi sana maandamano yasio na uongozi unaotambulika na yaliyo na malengo ya kificho, kamwe hayataruhusiwa kufanyika kwenye ardhi ya amani ya Tnazania.

Niwasihi tu mamluki wote wa maandamo haramu Tanzania,
Hakuna kikundi cha mercenaries, vibaraka, maharamia au magaidi kitakachoruhusiwa kufanya aina yoyote ya maandamano popote Tanzania. Hakuna maandamano duniani yenye lengo la kudai uhuru na haki ya kupora mali, kuharibu mali na miundombinu ya umma na binafsi au kuvuruga amani na uTulivu miongoni mwa wananchi Tanzania, hiyo haitatokea Tanzania.

Amani na utulivu miongoni mwa waTanzania vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile.
Na muhalifu yeyote atakaethubutu kulazimisha yaliyo kinyume na sheria au kufanya mikusanyiko yenye viashiria vya fujo, vurugu uharibifu au kuhatarisha amani ya nchi atakabiliwa kwa mujibu wa sheria na kushughulikiwa na vyombo vya ulinzi na usalama bila kumchelewesha, kumuonea haya wala huruma kulingana na taratibu za kiusalama.

Mungu Ibariki Tanzania
kibaraka ni machawa kama wewe Dada yetu
 
Back
Top Bottom