never Se me
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 702
- 1,013
Nitakupa ...Giza likiwa totolo unisimulie sawa .mi mpweke sanaDina digits zako

Nipe namba zake shostHuyu shost mtoto mashalaah kaumbika sura mpaka umbo. Ingawa alizungusha form six lakini baada ya boss kufahamu kuwa ana shida ya ajira ziliachwa division II shost akaingia. Kwa muda mrefu amekuwa small house ya boss mpaka pale best wa boss aliporudi kutoka masomoni Canada. Boss alimkaribisha best mjini na kumtambulisha kwa small house. Boss Alipo kwenda msalani best aliomba digits za shemeji yake.
Best alimpigia mtoto simu akamuweka sawa. Mtoto kama wewe utatokaje na mume wa mtu? Shost mwenyewe alijiona soo. Any way best alikuwa serious na baada ya miezi sita ya weekends nyingi tu za Zenj na Bagamoyo alinunuliwa pete yenye kito cha Tanzanite akawa engaged.
Baada ya kufanikiwa kupata kiwalo safi pale Tandale nilitinga harusini. Bibie aliachishwa kazi mara tu baada ya kuanza kutoa uroda kwa best wa boss. Sasa ni mke wa mtu amefunguliwa biashara ya kuku wa kisasa hao mnao waita wa wanyama na wa mayai.
Mwanzoni shost alikuwa na maneno eti mimi siwezi kuajiriwa kheri nijiajiri mwenyewe. Mmh ni kwakuwa ulizungusha shost!
Basi mauzo ya kwanza aliyafanya jana. Pesa alipata lakini mgongo unauma mbaya. Anasema kuwafuga tangu kifaranga ni kama unalea mtoto mchanga. Hawana maji uongeze, kuna baridi usiku weka taa yenye koti. Shost anatafuta acupuncture ya Kichina atibu mgongo.
Kwa sababu ipi hasa?
Kwakweli... unaweza kumsaidia kukiapa kwa muda?Atakua amesahau kile kiapo
"..........katika shida na raha, umaskini na utajiri, uzima na ugonjwa mpaka kifo kitutenganishe"Kwakweli... unaweza kumsaidia kukiapa kwa muda?
Baada ya kiapo hicho sasa come this way..."..........katika shida na raha, umaskini na utajiri, uzima na ugonjwa mpaka kifo kitutenganishe"
Huyu shost mtoto mashalaah kaumbika sura mpaka umbo. Ingawa alizungusha form six lakini baada ya boss kufahamu kuwa ana shida ya ajira ziliachwa division II shost akaingia. Kwa muda mrefu amekuwa small house ya boss mpaka pale best wa boss aliporudi kutoka masomoni Canada. Boss alimkaribisha best mjini na kumtambulisha kwa small house. Boss Alipo kwenda msalani best aliomba digits za shemeji yake.
Best alimpigia mtoto simu akamuweka sawa. Mtoto kama wewe utatokaje na mume wa mtu? Shost mwenyewe alijiona soo. Any way best alikuwa serious na baada ya miezi sita ya weekends nyingi tu za Zenj na Bagamoyo alinunuliwa pete yenye kito cha Tanzanite akawa engaged.
Baada ya kufanikiwa kupata kiwalo safi pale Tandale nilitinga harusini. Bibie aliachishwa kazi mara tu baada ya kuanza kutoa uroda kwa best wa boss. Sasa ni mke wa mtu amefunguliwa biashara ya kuku wa kisasa hao mnao waita wa wanyama na wa mayai.
Mwanzoni shost alikuwa na maneno eti mimi siwezi kuajiriwa kheri nijiajiri mwenyewe. Mmh ni kwakuwa ulizungusha shost!
Basi mauzo ya kwanza aliyafanya jana. Pesa alipata lakini mgongo unauma mbaya. Anasema kuwafuga tangu kifaranga ni kama unalea mtoto mchanga. Hawana maji uongeze, kuna baridi usiku weka taa yenye koti. Shost anatafuta acupuncture ya Kichina atibu mgongo.
Amezoea kula vya bure... alifikiri pesa zinaokotwa tu. Sasa na yeye aone jinsi gani pesa zinatafutwa.Huyu shost mtoto mashalaah kaumbika sura mpaka umbo. Ingawa alizungusha form six lakini baada ya boss kufahamu kuwa ana shida ya ajira ziliachwa division II shost akaingia. Kwa muda mrefu amekuwa small house ya boss mpaka pale best wa boss aliporudi kutoka masomoni Canada. Boss alimkaribisha best mjini na kumtambulisha kwa small house. Boss Alipo kwenda msalani best aliomba digits za shemeji yake.
Best alimpigia mtoto simu akamuweka sawa. Mtoto kama wewe utatokaje na mume wa mtu? Shost mwenyewe alijiona soo. Any way best alikuwa serious na baada ya miezi sita ya weekends nyingi tu za Zenj na Bagamoyo alinunuliwa pete yenye kito cha Tanzanite akawa engaged.
Baada ya kufanikiwa kupata kiwalo safi pale Tandale nilitinga harusini. Bibie aliachishwa kazi mara tu baada ya kuanza kutoa uroda kwa best wa boss. Sasa ni mke wa mtu amefunguliwa biashara ya kuku wa kisasa hao mnao waita wa wanyama na wa mayai.
Mwanzoni shost alikuwa na maneno eti mimi siwezi kuajiriwa kheri nijiajiri mwenyewe. Mmh ni kwakuwa ulizungusha shost!
Basi mauzo ya kwanza aliyafanya jana. Pesa alipata lakini mgongo unauma mbaya. Anasema kuwafuga tangu kifaranga ni kama unalea mtoto mchanga. Hawana maji uongeze, kuna baridi usiku weka taa yenye koti. Shost anatafuta acupuncture ya Kichina atibu mgongo.
Exactly...halafu kujiajiri bado ni kwa vile form six alizungusha...hana optionAmezoea kula vya bure... alifikiri pesa zinaokotwa tu. Sasa na yeye aone jinsi gani pesa zinatafutwa.
Wapi huko babu??Baada ya kiapo hicho sasa come this way...
Si chumbani kwa babu?Wapi huko babu??
Huyu shost mtoto mashalaah kaumbika sura mpaka umbo. Ingawa alizungusha form six lakini baada ya boss kufahamu kuwa ana shida ya ajira ziliachwa division II shost akaingia. Kwa muda mrefu amekuwa small house ya boss mpaka pale best wa boss aliporudi kutoka masomoni Canada. Boss alimkaribisha best mjini na kumtambulisha kwa small house. Boss Alipo kwenda msalani best aliomba digits za shemeji yake.
Best alimpigia mtoto simu akamuweka sawa. Mtoto kama wewe utatokaje na mume wa mtu? Shost mwenyewe alijiona soo. Any way best alikuwa serious na baada ya miezi sita ya weekends nyingi tu za Zenj na Bagamoyo alinunuliwa pete yenye kito cha Tanzanite akawa engaged.
Baada ya kufanikiwa kupata kiwalo safi pale Tandale nilitinga harusini. Bibie aliachishwa kazi mara tu baada ya kuanza kutoa uroda kwa best wa boss. Sasa ni mke wa mtu amefunguliwa biashara ya kuku wa kisasa hao mnao waita wa wanyama na wa mayai.
Mwanzoni shost alikuwa na maneno eti mimi siwezi kuajiriwa kheri nijiajiri mwenyewe. Mmh ni kwakuwa ulizungusha shost!
Basi mauzo ya kwanza aliyafanya jana. Pesa alipata lakini mgongo unauma mbaya. Anasema kuwafuga tangu kifaranga ni kama unalea mtoto mchanga. Hawana maji uongeze, kuna baridi usiku weka taa yenye koti. Shost anatafuta acupuncture ya Kichina atibu mgongo.
Ooh sawa...nipe dakika sifuri niko hapoSi chumbani kwa babu?
Utapata baraka ukiushika mkongojo wa babu. Usisahau kuja na ugoroOoh sawa...nipe dakika sifuri niko hapo