Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Sep 3, 2016 Thread starter #21 Chapa Nalo Jr said: Huu ni uchochezi! Si unajua kila kitu awamu hii ambacho hakimsifu "mtukufu" ni uchochezi, hakika taifa limeingia chaka!! Click to expand... Kwa heshima na taadhima sina nia ya kuchochea, lakini mkuu Kiswahili pia kina shida pale.
Chapa Nalo Jr said: Huu ni uchochezi! Si unajua kila kitu awamu hii ambacho hakimsifu "mtukufu" ni uchochezi, hakika taifa limeingia chaka!! Click to expand... Kwa heshima na taadhima sina nia ya kuchochea, lakini mkuu Kiswahili pia kina shida pale.