ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,774
- 35,994
Simba imepokea kipigo cha 6 mfululizo na coach Fadlu akifingwa mara 4 mfulilizo peke yake bila kupata goli lolote Kwa Yanga,
Coach Fadlu amefungwa na makocha 4 tofauti wa Yanga
Gamondi kamfunga
Ramovic kamfunga
Milouf Hamdi kamfunga
Roman Folz kamfunga
Tuliaminishwa
1. Usajili huu kuafanya coach mwenyewe.
Kwamba alikutana na tajiri Mo Dubai akampa mkwanja asajili mwenyewe
2. Uongozi mpya
Cresencius Magori na Babra ndani ila kipigo kimeendelea
3 Kambi Bora zaidi huko Egypt wakati wenzako wakiwa Avic town Kigamboni
4. Maboresho ya bench la ufundi
5. Wadhamini wakubwa betway, diadora na jayrutty wamemwaga mapesa
6. Bonuses na hamasa Kwa wachezaji.
Zamani tuliambiwa wachezaji walicheza vibaya Kwa kuwa hawakulipwa Kwa wakati, Sasa jayrutty pekee alitangaza kuweka milion 100 na bunus ya kipa 10m
7 Simba walidai wamefukuza maduka, yaani wachezaji walikuwa wakiuza mechi kama wanavodai na Kwa Sasa Simba ni safi, akina Inonga, Mkude, Tshabalala, Chama n.k
8. Mo alitangaza kurudi Kwa kushindo, baada ya kuwa alitangaza kususia timu
9 Simba walimuunga mkono Rais Karia kwenye uchaguzi tofauti na Yanga waliogoma na kuonekana watakuwa na msimu magumu kutokana na kumkataa Karia na uchaguzi wake wa kihuni
10. Simba wana wachezaji waliocheza FIFA world cup kama Rushaina, Maema na Mwalimu ila Bado wanapakatwa na Yanga ambaye hana mchezaji hata mmoja huko FIFA world cup