Hakuna kazi mbaya duniani

Dah dada mochwari kuna changamoto zake.. Imagine una ukame wa wiki halafu uletewe kama hao wote wamekufa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji85][emoji13]
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dah dada mochwari kuna changamoto zake.. Imagine una ukame wa wiki halafu uletewe kama hao wote wamekufa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji85][emoji13]


kuna wale marasta pale mount meru Hsp siwa patii picha tena niwala mirungi namirungi inapandisha hisia kinomaπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Dah dada mochwari kuna changamoto zake.. Imagine una ukame wa wiki halafu uletewe kama hao wote wamekufa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji85][emoji13]
Mtendaji wa mochwari
Ndio chumba chetu tu
Ingaa twakiopoga mno
Sijui twahofu nini hasa
Kwenda twenda wafu
Wafu hawana chao tena
Wafu waso na kitu duniani
Wametulia tuli chumbani
Lakini twapaogopa sana
Twaogopa nini hasa jama
Mshana Jr nsaidie tu
Nsaidie kuumanya mchezo

Bazazi
 
Bazazi takutafuta tufanye colabo ya kuuza mashairi na vina [emoji13]
 
kuna wale marasta pale mount meru Hsp siwa patii picha tena niwala mirungi namirungi inapandisha hisia kinoma[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…