Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,394
- 15,165
Hebu mtusaidie jamani hata sehemu ambazo wamefungua office na sisi tupate pesa za kununua sabuni maisha ni magumu mno wadau niko radhi kufanya hata per day tuu hali tete mno!
Hili Bango Limepitwa na Wakati Mimi ndo natoa Ajira kwa Sasa Ikiwa Pamoja na House girl na Kijana Anayetoa Huduma katika shamba langu la nguruwe na Kuku.
Hili Bango Limepitwa na Wakati Mimi ndo natoa Ajira kwa Sasa Ikiwa Pamoja na House girl na Kijana Anayetoa Huduma katika shamba langu la nguruwe na Kuku.