Ujumbe wa leo

Hakuna siku utakayo maliza matatizo yako yote.

Jipe muda kuyafurahia machache uliyobarikiwa nayo
Huu msemo uliniponza sitaki kusikia maana siku niliyojipa furaha kwa mafanikio niliyopata ndiyo siku nilidharirika kuomba watu wanikope elfu tano nipate nauli ya kurudi kazini .

Sitaki kusikia tena uongo wenu

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom