Hakuna jambo baya kama baba kumtegemea mwanaye

Kweli Mkuu
 
Huezi kwenye kutoa sadaka kwenye nyumba za ibada ingali wazazi wako wanashida, ni upuuzi na mtoa mada ni mpuuzi,
 
Na kuwatendea wema wazazi wawili, Kila mahali katika Quran Mola alipozungumzia haki na stahiki zake ,linafuata inakua hiyo sentensi nilio Anza nayo ,
Chunga kijana

Soma vizuri mada Mkuu upate mantiki ya mada nzima
 
Wazungu kinachowafanya wasitegemeane ni mfumo nzuri wakimaisha uliowekwa na serikali, siyo wao mmoja mmoja, na hata hivyo bado wanaombana hela na kunasaidiana , usiposaidia wazazi wako, mke wako atasaidia wazazi wake kwa kuitumia pesa zako
 
Nimekuambia soma vizuri Mada Mkuu. Hujasoma ufahamu kidato cha pili?
 
Umetukana wazazi mzee..

This is gonna retaliate and hit u back ..
You have cursed..

Boy u better apologise. You could use a fair language.

Anyway.
 
Umetukana wazazi mzee..

This is gonna retaliate and hit u back ..
You have cursed..

Boy u better apologise. You could use a fair language.

Anyway.

Kuongea ukweli si kutukana. Ukweli ni ukweli bila kujali unamgusa nani.
 
Kuongea ukweli si kutukana. Ukweli ni ukweli bila kujali unamgusa nani.
Is the phrase "Baba Jinga" not an insult...!?

Nigga u might have missed parental care at your childhood or even lifethrough...but that doesnt bring such language...

Please...
 
Hii mada inamkanganyika wa
_Dini
–Utegemezi wa kiuchumi
_malezi ya wazazi

Hii mada ni mzuri na inalengo la kukumbusha sisi kuwekeza mapema kwenye maisha ili uko mbeleni tusiwasumbue watoto zetu.

Mimi muislam na kutokana na uislam unahusia kuwafanyia wema wazazi, jambo hili ni pana ila moja ya kipengere kitachoingia hapa kuwajari kiuchumi. Sasa hii mada haipingi mafundisho haya kwasababu hii mada inahusia baba sisi wa kesho kwasababu bora kukumbushwa sasahivi kuliko kesho ambapo tushakuwa wazee itakuwa fedhea.

NB: hii mada ijasema usimtendee wema mzazi wako ila sisi wazazi wakesho tujijenge ili baadae watoto wetu wasitaabike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…