Hakuna jambo baya kama baba kumtegemea mwanaye



Mkuu mbona kama umepaniki hivyo. Mzazi ni mzazi tuu bila kujali nafasi yake. Ila mada hii ipo kwa lengo kwa kuwaasa vijana wa sasa wafanye kazi na kuwekeza ili uzeeni wasipate tabu. Wawe msaada kwa watoto wao. Ikiwa itatokea dhararu kama ya kuhujumiwa, kutapeliwa, kudhulumiwa hiyo ni kesi nyingine.

Umegusia vitu muhimu sana. Ishu ya ndoa endapo Mama atathubutu kumhujumu Baba kwa kushirikiana na Watoto ujue kuna tatizo la msingi Aidha Baba unatabia ya kutapanya mali. Au hukuimudu familia yako tokea mwanzo
 
Umeongea vizuri kabisa, ila hua nawashangaa watoto wengine wanapolalamika na kupiga kelele wakati baba anapojibana kwaajili ya kuwekeza miradi ili hapo baadae asiwe tegemezi kwa watoto. Watoto tusipende kulalama wakati baba akitafuta na kuwekeza tuwe wavumilivu tutakula matunda baadae.
 


Hhaahahahah!!
 
umesomeka;ninayo mengi ila naona nipishe wengine.
 
Bado unachangia mada ileile au umeanzisha mada nyingine?
Akili yako inaonekana haina uwezo wa ku-connect kabisa. Mtu kuhonga mpenzi wake unalinganishaje na kumsaidia mzazi wake?
 


Mbona unawapiga madongo wanaume wa Kiha, watakulaani shauri yako.

cc: Baba Diamond, Baba Kiba, Baba Dimpoz
 
Si kweli mzee akishazeeka ni jukumu la mtoto kumtunza mzazi, sema wazazi Wanatakiwa kuwapa elimu watoto wao, hata vitabu vya dini vinasema,
 
Si kweli mzee akishazeeka ni jukumu la mtoto kumtunza mzazi, sema wazazi Wanatakiwa kuwapa elimu watoto wao, hata vitabu vya dini vinasema,


Apandacho mtu ndicho avunacho
 
Haya masuala ya extended family yanaleta sana umaskini. Umepata kikazi utaona ndugu, jamaa .mpaka wazazi wanakutegemea. Unahangaika nao ukija kushtuka huna ulichofanya. Baadae wanaanza kukucheka .mara jamaa alikua na kazi nzuri hana kitu. Shida sana
Alafu usidhani WANAOMBA msaada..ni WANADAI as if ni legal right yao.. na wanakuhukumu kwa kiwango cha msaada unaowapa! Sawa tusaidiane ila tukumbuke kua mtoa msaada naye ana MALENGO na NDOTO zake!
 
Tatizo kuplan familia zetu ndo tatizo tunafyatua tuu huo Msingi utaandaaje huku una furushi la watoto 11 na benchi yupo mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…