Mada nimeielewa vizuri.Hii mada ukiisoma vizuri utaielewa. Kama wewe ni Baba kwa sasa isome tena huenda ukaelewa mantiki ya mtoa post
Zaa watoto wengi, kuna wengine watakuja kuwa mawaziri,marais wakusaidieMasikini Liabilit yake wazazi
Mada nimeielewa vizuri.
Kama unao uwezo wa kuwasaidia wazazi wako wasaidie
Kama kipato chako kinakutosha wewe na familia yako tu, basi waheshimu na uwaoneshe upendo
Asilimia kubwa ya wenye vipato na wenye elimu hawakufika hapo kimiujiza tu!
Wapo wazazi waliouza mifugo yao, mashamba na wengine waliokuwa na akiba kidogo walifunga mikanda na kuwasomesha.
Wazazi wetu walishindwa kununua hata pikipiki ya kuendea shamba kwa sababu ili kutusomesha wakiwa na mawazo ya kuja kufarijiwa na watoto wao uzeeni nyie mnasema wapambane na hali zao kweli?
Wazazi wetu wangeamua kufanya starehe kwa kutumia hizo pesa kidogo walizotusomesha nazo leo hii tungekuwaje?
Alafu muelewe sio kwamba nyinyi ndio wenye uwezo wa kuwasaidia pindi mnapopata ajira bali hata nyinyi mkiyumba mnakimbilia kwao
Maisha ni kuwa nayo makini tu maana hatujui kesho itazaa nini
Sana mkuu....yaan mi naombwa hela mpaka basi![emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaonekana unakutana nao hao watu eeh!
Wazazi lazima wasaidiwe bila kujali walikosea wapi. Ila sisi wababa wasasa hivi hii mada inatuhusu sana. Huko tuendako ni kugumu mno. Ni aibu kumtegemea mtoto kwa karne hii
Mleta mada nimemuelewa sana, nimeelewa kwamba watoto hatujazuiwa kuwasaidia wazazi wetu, ila tumekumbushwa sisi wazazi vijana ni muhimu kuwekeza kwaajili ya uzee wetu, tusijiandae kuwategemea watoto kwa kufuja Mali zetu. Nadhan hii ipo vizuri na ni sahihi
Ni kweli.
Tuendako ni kigumu sio kwa sababu wanetu hawatataka kutusaidia bali ni changamoto za maisha yao zitakuwa nyingi kuliko sisi
Na janga kubwa sana ni msongo wa mawazo utakaoikumba jamii yetu kwa kiasi kikubwa
Si kweli na nina pinga vikali!Ni kweli.
Tuendako ni kigumu sio kwa sababu wanetu hawatataka kutusaidia bali ni changamoto za maisha yao zitakuwa nyingi kuliko sisi
Na janga kubwa sana ni msongo wa mawazo utakaoikumba jamii yetu kwa kiasi kikubwa
Fact mkuuHaya masuala ya extended family yanaleta sana umaskini. Umepata kikazi utaona ndugu, jamaa .mpaka wazazi wanakutegemea. Unahangaika nao ukija kushtuka huna ulichofanya. Baadae wanaanza kukucheka .mara jamaa alikua na kazi nzuri hana kitu. Shida sana
Nina elewa kwa nini nchi zinazo endelea kuna elderly homes!Shukrani kwa kunielewa
Na hapo ndio tutawaona wabaya kumbe sisi ndio tulikuwa wabaya zaidi. Mtu atataka amsaidie mzazi wake lakini akicheki mke na watoto wanamtegemea alafu wazazi nao wanadai. Jamani tujitahidini kwa kweli. Tuwe na huruma kwa kizazi chetu kijacho