Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Mkuu kwa wazee wengi na maisha ya hapa kwetu kitu kikuu cha mzee ambae anaweza kujiwekeza ni kwa mtoto wake hii inakuja pale anapojitolea hali yake yote kukusomesga wew ukafanikiwa,na kama hakiba yake yote aliitolea kwako basi basi wew pia ulipe kwa jambo hilo na istoshe juu ya yote hata mzee akiweza kujitegemea hakuna malipo unayoweza kumlipa.Umeongea ukweli mtupu lakini pia katika dini wazazi tunashauriwa tuwaachie watoto urithi
Mithali 13
22 Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi; Na mali ya mkosaji huwa akiba kwa mwenye haki.
Wala sio aibu ni km alivyokutunza ww kwa mapenz yote na as wewe ujue ni jukumu lako kuwasaidia,wazazi wa ss wanajituma sana tena kwenye kufatilia watoto wao kwakweli wanajitahidi tofauti na wazazi wetu wa zamani.Sijasema mtu asiwasaidie wazazi wake ila nimesema ni Aibu kwao kusaidiwa na watoto. Watu wangejua nini maana ya Baba wasingepinga hii Mada. Sema wazazi wa siku hizi wamekuwa wavivu, watu wa anasa, watu wabadhirifu na wabinafsi. Mzazi ni mtoaji mtoto ni mpokeaji siku zote bila kujali umri wa mtoto.
Hata hivyo ujumbe huu unanihusu mimi na wewe kijana wa sasa. Ikiwa utazembea sasa hivi eti kisa umezaa watoto hata Mungu aliyekuumba atakushangaa. Mungu anahitaji watu wenye akili na wenye kumtii yeye na kumuiga.
Mkuu kwa wazee wengi na maisha ya hapa kwetu kitu kikuu cha mzee ambae anaweza kujiwekeza ni kwa mtoto wake hii inakuja pale anapojitolea hali yake yote kukusomesga wew ukafanikiwa,na kama hakiba yake yote aliitolea kwako basi basi wew pia ulipe kwa jambo hilo na istoshe juu ya yote hata mzee akiweza kujitegemea hakuna malipo unayoweza kumlipa.
Wala sio aibu ni km alivyokutunza ww kwa mapenz yote na as wewe ujue ni jukumu lako kuwasaidia,wazazi wa ss wanajituma sana tena kwenye kufatilia watoto wao kwakweli wanajitahidi tofauti na wazazi wetu wa zamani.
Bro mungu atakuonesha nuru katika hilo jambo unaloliongelea,inshallah mungu akujaalie ue mtoto bora unaewajali wazee wako katika kila hali.
Mshua wangu alikuwa mtu Wa bata sana.Kusaidia wote ni wajibu wa mtoto ila ni aibu kubwa kwa mzazi kumtegemea mtoto 100%.
Haya ndio maneno mkuu.Mimi ni lazima niwasaidie. Ila mada hii inatuusu sisi vijana kuwa tupigana kufa na kupona kwa kufanya kazi halali ili tupunguze adha za uzeeni. ikiwezekana tuwasaidie watoto na wajukuu.
Fool kama mamako tu.I won't argue with a fool anymore. I rest my case.
Mzee wako alikuwa pia na uhuru wa kutokuwazaa kama alikuwa hataki kuhangaika juu yako/yenu. Na wewe pia una uhuru wa kutokuzaa kama hautaki kuhangaika kwa ajili ya unaowaleta duniani. Lakini usifyatue tu watoto na kutokuyaandaa maisha yako eti watoto watakusaidia.Mkuu hio post ya jamaa imenisikitisha sana mim mzee wangu amehangaika nchi mbali mbali kutufanya sisi tusome mpaka hapa tulipo. Hakiba yake haikukaa kwa mahaitaji ya watoto wake.
Hivi kweli mzee leo amezeeka na hana kitu unakutegemea kwa asilimia mia usimsaidie,ni nani ana laana kati ya hao wawili?
Leo nimemskia jamaa anasema watoto kwa kipindi hiki ni muhimu sana tena uwakuze katika maadili ya dini na bila itakua hasara ni kma tunayoiyona hapa.
Ni kweli wazazi wengine wameiishi kwa kima cha chini wengine kwa biashara ndogondogo. Unspokua wanafurahi sasa mtt kakuwa mzigo utapungua. Ukibaharika kurithi mali kwa wazazi mshukuru tu Mungu. Kikubwa ni elimu iwe ya shule au ya msisha. Wazee wa zamani waliwarithisha watt wao ujuzi kama kuwinda, uvuvi ususi, ujenzi, uhunzi nk.Kama ulilelewa na wazazi hauwezi ongea hv,ukikumbuka walivyohangaika kukusomesha kwa shida toka kindergarten na kipato chao kidogo wakahakikisha unapata elimu bora,mpaka unamaliza chuo nawao ss uzee unaingia nguvu zile za kuchacharika zimepungua kwann usiwasaidie ni roho mbaya na ubinafsi.
Duuuuuuuh hiii kitu imenigusa sanaa kiukweri yaan n kama muandika huu uzii nikama alkuja akaona maisha nayoishi mimi na babayangu ila asante sanaa muandaaji kwa sababu na mmi siwez kukubali watoto wangu waje kuishi haya maisha
Mleta Uzi anamgogoro na baba take, na huu Uzi ameuandika akiwa na hasira. Mwisho wa Sikh hasira zikiisha atabaki kujutia maneno makali aliyotumia. Time will tell