Tunatakiwa kujifunza na yanayotokana na hiyo shift maana tunatofauti katika yale tunayoweza kufanya.Ndoa, in the traditional sense, is overrated.
Wanaosema "hakuna husband material" au "hakuna wife material" wanashindwa kuelewa au ku articulate challenges zinazoletwa na paradigm shift inayotokea katika society yetu kipindi hiki.
Mimi ndiyo maana nilishaamua hakuna habari ya kuoa.
Now for our case, I think it is getting tougher and tougher to get married nowadays, I believe both men and women are putting too much expectation such that is becoming more and more difficult to meet these expectation and settle down. This can be the reasons one of explanation why many marriages breakup. If we could lower our expectation to achievable levels, I do believe the situation would not be as bad.
Can we be partners?, it seems like we're in the same page...
Even January?
Nakwaminia komredi pande hilo.
Research zipo..inategemea unataka ku establish nini.Umesahau kuhusu MBAs?No research no right to speak (Mao). I think this is a good area for conducting social research. We don't have sound grounds to why these women missed men or they don't want to live with men as husbands or they want to live independent life in which they're free to enjoy full freedom. We're supposed to know the current world trends among women especially for the educated ones. Many don't want to be married, they attached marriage life with slave life, they normally uttered that being married means reduction of personal freedom. So long as they're capable for taking care themselves there is no need for having men as a husband. Some have went far by saying if they have money they have also wide chance of having men who can satisfying them sexually. Therefore, we need to conduct research in order to reveal the truth.
Tatizo ni kwamba wanawake ni wengi lakini mke yaani wives ni wachache sana ndiyo wote ambao wapowapo ni wanawake siyo wake
Ndoa, in the traditional sense, is overrated.
Wanaosema "hakuna husband material" au "hakuna wife material" wanashindwa kuelewa au ku articulate challenges zinazoletwa na paradigm shift inayotokea katika society yetu kipindi hiki.
Mimi ndiyo maana nilishaamua hakuna habari ya kuoa.
Nipo! mlete mmoja nimtengeneze.....Kipi kinatangulia? Ofcourse unaanza na mwanamke halafu unamtengeneza kuwa mke.Hao watengezeaji wapo?
"I mean mwanamke unakuta
ni mzuri,ana kazi nzuri,shule kaenda,familia nzuri..,anajiheshimu but yupo yupo tu"
Unajua na kuchanganya mapenzi na shule zao...wanashidwa tofautisha...ndio maana wapo wapo.
Wengine wana diriki kusema ukiwa na mie jivunie...kichwa cha degree...Wasumbufu sana hawa kwenye mahusiano...
Kipi kinatangulia? Ofcourse unaanza na mwanamke halafu unamtengeneza kuwa mke.Hao watengezeaji wapo?
Tunataka finished products... wanafunzi wengine hawafundishiki!! your theory would only work if we were allowed to sign marriage certificates after a few years of "making those wives from women"
Wanaume wa Kitanzania tunaogopa wanawake wazuri sana, wenye kazi nzuri, wenye familia nzuri, shule kubwa kwa hofu kuwa kutakuwepo na manyanyaso hapo baadae kwenye ndoa mapenzi yakianza kuchujuka.sasa swali langu hapa ni kuwa kwa nini siku hizi wanawake ambao ni wife material wapo wengi sana???i mean mwanamke unakutani mzuri,ana kazi nzuri,shule kaenda,familia nzuri..,anajiheshimu but yupo yupo tu.....
vigezo vinavyowekwa na wanawake kwenye mtu wa aina gani wanataka awe mume ndio vinavyowafanya hao unaowaita wife materials kukosa wanwake mpaka umri wa kuolewa unapita. Pia vigezo hivi hivi vinawatesa na baadhi ya wanaume. Kama unamtaka mke/mume wa kuwafurahisha washikaji ndio hapo unapokaa benchi kwa muda mrefu kabla ya kuanza kupiga kabumbu ya ndoa yenyewe. Kazi ipo kuchagua mke sio lelemama wakuu MUNGU lazima achukue nafasi yake vinginevyo utakuja kujutaMimi nafikiri kinachosumbua sana ni jinsi gani watu walivyo jiwekea vigezo vya mme au mke mwema anayeweza kuishi naye kama life partner.