Hakuna haja ya Nyerere Day

Hakuna haja ya Nyerere Day

Hebu tukumbushe. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunapumzika mara ngapi katika maana mmoja? Anza na January 1, Siku kuu ya kuzaliwa CCM, pasaka ina siku 2 za mapumziko, Medi Mosi, saba saba, siku 2 za Idd Elfitri, n.k. kama Nyerere alishindwa kuzuia tusipumzike kwenye misiku yote hiyo kwa nini tusipumzike katika siku yake ya kumbukumbu?

Wakati wa Nyerere hata Jumamosi ilikuwa siku ya kazi, so go figure!
 
Back
Top Bottom