Hakuna haja ya Nyerere Day

Hakuna haja ya Nyerere Day

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Rais Nyerere hafai kukumbukwa kwa lolote

Ukisema kaleta Uhuru kasome makala za Mohammed said utaelewa kazi ya viongozi wa TAA juu ya Uhuru na kazi ya Nyerere.

Nani alimruhusu kusema nchi haina dini halafu akatupa wimbo wa taifa tumuombe Mungu. Nani alimruhusu kuwa tunataka ujamaa? Alifanya referendum wapi? Nani alimruhusu kutaifusha Mali za watu,viwanda,viwanja,mashule,vyuo,nk? Nani alimruhusu kukusanya watu kwenye vijiji na maroli huku wakiwa chini ulinzi kwa waliopinga.

Nani alimruhusu kuua demokrasia na kupiga marufuku vyama vingi?
Serikali yake ikajaa umangimeza, hakuna wakuihoji, zikadumu fikra za mwenyekiti kwa mdamrefu, nan alimruhusu?

Akatumia rasilimali na fedha za chi kukomboa bara zima la Afrika bila kuweka mkataba kuwa fedha zile sio zake Bali za wananchi kwa hiyo wakipita Uhuru wao wazirudishe matokeo yake hata South Africa tuliowasaidia wenyeji hawataki wahamiaji na wanawaua, je rasilimali zetu zilizowanufaisha sisi tumenufaika na nini?

Nina mengi sana lakini ngoja niachie hapa, sasa najiuliza Nyerere tunamkumbuka kwa lipi hata tuweke eti Nyerere day?

Tafakari
 
Kwa Ukombozi wa nchi za kusini mwa bara la Afrika anastahili kukumbukwa daima
Pia amefanya mengi saana mazuri kwa Tanzania ingawa mengine yalishindikana kutokana na kukosa viongozi bora kwenye serikali yake,
Kwa upande wangu Nyerere ni moja ya best icon ever all over Africa
RIP Mwalimu Nyerere
 
Nakubaliana na were kuwa hakuna haja ya Nyerere day ila sikubaliani na hoja zako kifupi mwalimu alikuwa mchapa kazi ila kwanini tumkumbuke kwa kupumzika badala ya kufanya kazi
 
Rais Nyerere hafai kukumbukwa kwa lolote

ukisema kaleta Uhuru kasome makala za Mohammed said utaelewa kazi ya viongozi wa TAA juu ya Uhuru na kazi ya Nyerere.

Nani alimruhusu kusema nchi haina dini halafu akatupa wimbo wa taifa tumuombe Mungu. nani alimruhusu kuwa tunataka ujamaa? alifanya referendum wapi? Nani alimruhusu kutaifusha Mali za watu,viwanda,viwanja,mashule,vyuo,nk?Nan alimruhusu kukusanya watu kwenye vijiji na maroli huku wakiwa chini ulinzi kwa waliopinga.

Nan alimruhusu kuua demokrasia na kpiga marufuku vyamavingi. serikali yake ikajaa umangimeza, hakuna wakuihoji, zikadumu fikra za mwenyekiti kwa mdamrefu, nan alimruhusu?

Akatumia rasilimali na fedha za chi kukomboa bara zima la afrika bila kuweka mkataba kuwa fedha zile sio zake Bali za wananchi kwa hiyo wakipt Uhuru wao wazirudishe matokeo yske hata south Africa tuliowasaidia wenyeji hawataki wahamiaji na wanawaua, je rasilimali zetu zilizowanufaisha sisi tumenufaika na nini?

Nina mengi sana lakin ngoja niachie hapa, sasa najiuliza Nyerere tunamkumbuka kwa lipi hata tuweke eti Nyerere day?

Tafakari
Siyo bure, yaani kwa ujinga ulioandika hapa, lazima utakuwa na matatizo makubwa sana kwenye akili yako.
 
Tujibu hoja za mtoa mada,mm sioni kubwa zaid ya mazingaombwe ya muungano.
 
Mtoa mada utakuta ni mshabiki wa kikwete au mbowe....sasa kama una uwezo wa kumshabikia mmoja kati ya hao wawili si bora mwaka mzima tumkumbuke nyerere tu
 
Rais Nyerere hafai kukumbukwa kwa lolote

Ukisema kaleta Uhuru kasome makala za Mohammed said utaelewa kazi ya viongozi wa TAA juu ya Uhuru na kazi ya Nyerere.

Nani alimruhusu kusema nchi haina dini halafu akatupa wimbo wa taifa tumuombe Mungu. Nani alimruhusu kuwa tunataka ujamaa? Alifanya referendum wapi? Nani alimruhusu kutaifusha Mali za watu,viwanda,viwanja,mashule,vyuo,nk? Nani alimruhusu kukusanya watu kwenye vijiji na maroli huku wakiwa chini ulinzi kwa waliopinga.

Nani alimruhusu kuua demokrasia na kupiga marufuku vyama vingi?
Serikali yake ikajaa umangimeza, hakuna wakuihoji, zikadumu fikra za mwenyekiti kwa mdamrefu, nan alimruhusu?

Akatumia rasilimali na fedha za chi kukomboa bara zima la Afrika bila kuweka mkataba kuwa fedha zile sio zake Bali za wananchi kwa hiyo wakipita Uhuru wao wazirudishe matokeo yake hata South Africa tuliowasaidia wenyeji hawataki wahamiaji na wanawaua, je rasilimali zetu zilizowanufaisha sisi tumenufaika na nini?

Nina mengi sana lakini ngoja niachie hapa, sasa najiuliza Nyerere tunamkumbuka kwa lipi hata tuweke eti Nyerere day?

Tafakari
Yaani wewe ukiisha msoma huyo Mohammed wako baaaaasi. ...Dunia yako inaishia kwa huyo bwana, na kwingineko hawajuhi lolote kuhusu Mwl. Nyerere?
 
Mtoa mada utakuwa ulizaliwa, kukua na kusoma ukimbizini wewe, ukaja TZ kuishi ukiwa tayari ova 60 yrs.
 
Nyerere alipaswa kuwa accountable for what he did
 
Nyerere day inaweza kuwepo, lakini napinga kuifanya kuwa ni siku ya mapumziko!

Wakati tukiifanya hii siku kuwa ya mapumziko tujiulize, je Nyerere mwenyewe angekubaliana na dhana ya kutokufanya kazi ili kumkumbuka yeye?.

Kama kuwaadhimisha watu basi watu shurti wapumzike mbona basi wakati wa Mwalimu Nyerere akiwa madarakani hajawahi kuweka Karume day ili kumuadhimisha muasisi mwenzie wa Muungano?

Tunaweza kuiadhimisha Nyerere day kwa kuchapa kazi zaidi, makongamano ya kisomi n. k
 
watanzania hatuna tujualo......historia tumeandikiwa na wazungu,,mt kilimanjalo umegunduliwa na wazungu n.k n.k
eti TZ tmepata uhuru bila kumwaga damu,.vita vya majimaji walikuwa wanapigana kujionyesha.....nchi haina mipango miji iliyopangwa...wakulaumu ni hao viongoz waasisi,.nchi iko hovyo waasis ndo chanzo walikosa mipango ya kuleta mabadiliko miaka mingi ijayo...big mwl nyerere kwa uongoz bora na falsafa zinazotusaidia hadi leo
 
Nyerere day inaweza kuwepo, lakini napinga kuifanya kuwa ni siku ya mapumziko!

Wakati tukiifanya hii siku kuwa ya mapumziko tujiulize, je Nyerere mwenyewe angekubaliana na dhana ya kutokufanya kazi ili kumkumbuka yeye?.

Kama kuwaadhimisha watu basi watu shurti wapumzike mbona basi wakati wa Mwalimu Nyerere akiwa madarakani hajawahi kuweka Karume day ili kumuadhimisha muasisi mwenzie wa Muungano?

Tunaweza kuiadhimisha Nyerere day kwa kuchapa kazi zaidi, makongamano ya kisomi n. k
exactly
 
Iwekwe siku ya kuwakumbuka wapigania uhuru.....wapigania uhuru wapo wa muhimu zaidi kuliko nyerere...
tena nyerer yeye katafuta uhuru bila kumwaga damu,....wakina kinyekitile ngwale,mkwawa walikufa kwa ajili ya nchi hii,.leo unamuenzi nyerere it seems wale wengine hawana umuhimu kwa taifa hili kuliko julius nyerere
 
Back
Top Bottom