Hakuna furaha anayoipata mwanamke kama hii!

Hakuna furaha anayoipata mwanamke kama hii!

Nina kanuni moja ya kutoa hela kwa mwanamke kwa mambo ambayo sio muhimu..

Hela atakayoomba, natoa tuu 8% - 10%.. Sasa ajiloge aombe elfu 10, atapata kuanzia shilingi 800-1000...
 
Uko sahihi mkuu;kwa upande wangu kula na kunywa haina shida....ila kutaka posho huwa ni ngumu...
 
Back
Top Bottom