Hakuna furaha anayoipata mwanamke kama hii!

Hakuna furaha anayoipata mwanamke kama hii!

Ni furaha sana kwa mwanamke unayemtongoza kukulia vijisenti vyako na asikupe papuchi!huwa wanajiona washindi sana na kukublock watakublock tu!
Team kiumeni ni marufuku kumpa pesa mwanamke yeyote ambaye sio demu wako,sio mama yako sio shangazi yako,sio binamu yako,sio bibi yako!zaidi ya hapo nipe nikupe,hakuna habari za western Union wala m.pesa ni cash on hand
Sasa nimejua brother. Ur a great thinker
 
Aiseee the struggle is really
Mimi kuna mmoja namfukuzia natamani ata awe ananipiga vizinga text zangu tu hajibu
Dunia haiko fair
Ukiona hajibu txt ujue uyo ndo basi tena tafuta mbinu nyengine... na mbinu yenyewe ni kuhakikisha una onana nae
 
[emoji14] [emoji14] [emoji14]
Screenshot_20181016-050025.jpg
 
Nitaonana nae viph Wakati hatuwasiliani
Kwani namba yake alikupea wapi? Navyojua mimi kama demu akujibu text jitahidi kumpigia ongea nae kidogo then unakata na hakikisha utakayo ongea nae yanafanya aanze kukuwaza na atakua anakaa anasubir umpigie tena... hii njia ya kwanza na njia ya pili kama unajua unako weza kukutana nae unafanya ukutane nae na uki kutana nae una hakikisha anafuraia kuwa na wewe
 
Back
Top Bottom